Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 253
- 166
- Thread starter
- #21
Nimejipanga ila si kwa kuwaibia watu wa hali ya chini mkuu... ndio hivyo ujipange Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejipanga ila si kwa kuwaibia watu wa hali ya chini mkuu... ndio hivyo ujipange Mkuu.
Je issue kama nikipoteza kadi ya ATM na niko mbali na inchi ya Bahamas itakuwaje hapo mkuu je naweza nikaipata kwenye inchi nyengine kama huko tzNiliwah kumuuliza mama mmoja mfanyakazi wa Barkleys akaniambia kuwa inawezekana ila watakucharg kidogo coz ni nchi tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unafikiri Ushauri wa hapa ni wa Uhahika zaidi kulikoni hao wenye Benki wennyewe?Mzee Ushauri wa kibenki na wahapa tofauti kumbuka wale wanaitaji client wanaweza wakaniambia litawezekana then ikawa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaongea kinyume? Ushauri na maelezo ya benki ndiyo bora zaidi kuliko hapa. Benki hawawezi kukudanganya hasa benki kubwa kama hiyo lakini hapa unaweza kupewa majibu yasiyo sawa. Napata shaka kama kweli umewahi kusafiri halafu info kama hizi hujui pa kuzipata. Anyway wasalimie huko Lukuledi ambako wewe unasema ni nje ya nchi.Mzee Ushauri wa kibenki na wahapa tofauti kumbuka wale wanaitaji client wanaweza wakaniambia litawezekana then ikawa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitawasalimia kwa niaba yakoMbona unaongea kinyume? Ushauri na maelezo ya benki ndiyo bora zaidi kuliko hapa. Benki hawawezi kukudanganya hasa benki kubwa kama hiyo lakini hapa unaweza kupewa majibu yasiyo sawa. Napata shaka kama kweli umewahi kusafiri halafu info kama hizi hujui pa kuzipata. Anyway wasalimie huko Lukuledi ambako wewe unasema ni nje ya nchi.
Mbona unaongea kinyume? Ushauri na maelezo ya benki ndiyo bora zaidi kuliko hapa. Benki hawawezi kukudanganya hasa benki kubwa kama hiyo lakini hapa unaweza kupewa majibu yasiyo sawa. Napata shaka kama kweli umewahi kusafiri halafu info kama hizi hujui pa kuzipata. Anyway wasalimie huko Lukuledi ambako wewe unasema ni nje ya nchi.
Je issue kama nikipoteza kadi ya ATM na niko mbali na inchi ya Bahamas itakuwaje hapo mkuu je naweza nikaipata kwenye inchi nyengine kama huko tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama nikipoteza card ya bank ambapo nitakuwa niko Huko Tz je uwezekano wa kuipata upojeHuduma zipi kwa mfano unazotaka uwe unapata tu kutoka Standard Chartered Tanzania?!
Kama ni deposit, utafanya "deposit" lakini sio moja kwa moja bali through wire transfer au njia nyingine yoyote... kitu ambacho unaweza pia kufanya kupitia benki yoyote ile!!
Kama ni ku-WDL, itakuwa ni sawa na hapo juu, in additional to MasterCard and/or Visa Card!
Kama kuna privilege yoyote labda privilege ya correspondence bank in case Standard Chartered Bahamas ndio correspondence bank ya Standard Chartered Bank Tanzania.
By correspondence bank I mean, benki inayotumika ku-facilitate transaction kati ya benki mbili ambazo kwa kawaida zinakuwa kwenye mataifa tofauti.
But wait... The Bahamas?! I hope sio offshore bank account.
Shukran mkuuNdio utaipata, muhimu uwe na details zote ulizo register huko nchini kwenu, kama vitambulisho na mambo mengine, kinachofanyika ni hao customer care watapiga sim huko kwenye nchi yako kwenye hio branch ili pia kutaka details zako na kukuuliza baadhi ya maswali, mm card yangu ya Barclay's ilikatika mwaka 2016 ujerumani, hio card nilikua nayo tokea niko Africa, kilichonikwamisha kutengenezesha tena ni baadhi ya details nilizisahau huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kujali upo Bahama au wapi, kabla hujatoka unatoka ughaibuni unatakiwa kufanya yafuatayo:-Je issue kama nikipoteza kadi ya ATM na niko mbali na inchi ya Bahamas itakuwaje hapo mkuu je naweza nikaipata kwenye inchi nyengine kama huko tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku mkuu nipatamu ni michongo kibao mengine huwa tunaipigia miami USMi nataka kuja huko Bahamas Bahama mama
Nicheze wa wa caribien nipe info kukoje kiutafutaji pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye wire transfer sijakupataBila kujali upo Bahama au wapi, kabla hujatoka unatoka ughaibuni unatakiwa kufanya yafuatayo:-
1. Kama card yako inakaribia ku-expire, nenda branch waambie wa-extend muda au kukupa kadi nyingine, and they will do it.
2. Kabla hujatoka ughaibuni hakikisha una-update contact info zako za Bongo! In case card uliyopewa ime-expire au kupotea, utawa-contact nao watakutumia kadi nyingine! Hawatakutumia kupitia tawi la Standard Chartered la Bongo bali watakutumia kwa njia ya kawaida, kv through DHL!
3. Kaa ukifahamu Universal Transactions kwa kutumia Card ni very expensive kwa amount kuanzia $1000, na ni very cheap ukitumia wire transfer!
Ukitumia ATM Machines za CRDB kwa mfano, kwa kila transaction isiyozidi TZS 400K wanachukua pesa ya nyama, mchele, sukari, vitunguu na vikorokoro vingine kibao ya kukuwezesha kuandaa pilau nyama just for a single transaction!
Now assume unataka kuchukua TZS 5M!
Hapo #3 maana yangu ni kwamba, kama akaunti ina mpunga wa kutosha na hutarajii kurudi ughaibuni, piga wire transfer pesa yako yote to a local bank account na huko account ya ughaibuni acha dola mia chache tu!