Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

Daaah hata mimi nilikuwa kama wewe kiongozi,ilikuwa ni hatari tupu mpaka kuna mda naisi mashine inataka kunyofoka.Sinilijichanganya kuna big mmoja akaikalia afu nilikuwa kachalii naisi aliivunja sema ndo ivo sikumbuki vizuri nililia sana 😂🙌
 
Sasa wewe una mpango gani 🤔 hapo unatakiwa usifanye naye kabisa ni check mimi nauza sex toys
 
Nimependa style ya jamaa ya kukutenganisha na marafiki na ndugu zako Ili akitawale vyema zaidi. Mbinu za kimedani hizi
 
🤔🤔🤔
Yaani ni hivi Kondakta wa dalaldala akigombana na Dereva wake, Sisi abiria hatuwezi kuwaingilia. Mleta mada kama unaishi naye kirafiki nakushauri, chukuaneni siku moja mtoke out nje ya mazingira mliyoyazoea mkamalize hilo tatizo, Zungumzeni kwa uwazi na mpeane tamu mkirudi mtaanza upya na maisha yatakuwa mapya tena.
 
Sh
Uamuzi wowote utakaochukua ila mwanaume anayezini na binti anayewasaidia kazi nyumbani hao ndio wale wanaokujaga kubaka hata watoto wao wa kuwazaa. Piga chini huyo au subiria VVU hapo.
 
Kugonga ni kawaida ila jamaa (mume wake) amezidi.
Hata kama mbunyes "are easily available" lazima uwe na principle zako.
PRINCIPLE ZANGU ....
1. Sitembei na mdada wa kazini (coworker)

2. Mimi nina biashara, Sigongi mteja hata siku moja.

3. Sili K ya mdada yoyote ambae nimemjua ili maisha yangu yawe rahisi. Mfano; kwasababu nina biashara ninajuana na mdada wa custom Tunduma, kodi za ndani, na kwenye taasisi nyengine za biashara. Ila marafuku kuwagonga.

4. Sili beki 3, wa nyumba yoyote ninayoishi

5. Sili K ya supplier yoyote kwenye biashara yangu.

#YNWA
 
Uamuzi wowote utakaochukua ila mwanaume anayezini na binti anayewasaidia kazi nyumbani hao ndio wale wanaokujaga kubaka hata watoto wao wa kuwazaa. Piga chini huyo au subiria VVU hapo.
kuna jirani yangu ni msomi mkiubwa sana, mkewe ni msomi na ana kazi nzuri sana, ajabu yake, huwa anarudi home mchana wife asipokuwepo, anamrukia house girl. wife anampenda mume kuliko mume kumpenda yeye, hivyo kila akigundua housegirl ametembea na bwanake, anafukuza house girl analeta mwingine. trend hiyo ipo muda mrefu, ni kama anamtafutia mumewe wanawake wapya kulala nao kila wakati manake kila housegirl anayekuja lazima alale naye. kuna siku sasa akaja housegirl mwenye msimamo, si akaanza kupiga kelele, wapo wawili tu ndani, anataka kumwingilia kinguvu, alivyoona kelele zimeizdi akamwachia, binti akachomoka kwenda nyumba ya jirani, mtaa mzima wamesikia makelele. wife wake aliporudi, alimchukulia tu vinguo vyake hakurudi tena ilibidi binti akae kwenye mikono salama ya majirani manake watu waliogopa wife na mumewe wasijemdhuru kupoteza ushahidi. alimpakiza kwenye gari kampeleka kwao chap ili kukwepa kesi ya kubaka. ila kuna siku kama ataendelea, lazima atalamba miaka 30.
 
Na hizi ndio principles za kuongeza kwenye katiba mpya.
 
Hakikisha anapotoka hapo kwako kila siku, mbegu zote amezimaliza; hapo hatokuwa tena na nguvu ya kwenda kuchepuka.
Anaenda kuchepuka kwa sababu umeshindwa kuzimaliza zote; we mpe yote apige magoli ata 20.​
 

JF sjui ina mashoga wengi au watoto wengi au imegeuka kuwa Facebook. Wewe member michango yako yooote hapa JF ni Me leo unadai wewe ni MWANAMKE! Au ni utapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…