Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
pole sana vumilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hiki
Daaah hata mimi nilikuwa kama wewe kiongozi,ilikuwa ni hatari tupu mpaka kuna mda naisi mashine inataka kunyofoka.Sinilijichanganya kuna big mmoja akaikalia afu nilikuwa kachalii naisi aliivunja sema ndo ivo sikumbuki vizuri nililia sana 😂🙌Sema mwamba katisha[emoji23],ila mambo hayo sisi tulifanya kipindi kile balehe ndo inachanganya yaan kila mwanamke nilikuwa napita nae[emoji23]...yaan akiwa na mbususu tu basi kaisha nilivyozizoea sasa mbususu nikawa sasa nachagua aina ya wanawake ambao wananisisimua ndo nadeal nao,mpaka now vigezo vimekuwa vingi sana yaan hadi mwanamke nitumbukize mkuyenge wangu basi ujue ana vigezo vingi sana!
Sasa wewe una mpango gani 🤔 hapo unatakiwa usifanye naye kabisa ni check mimi nauza sex toysNi mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya.
Yan ukishika cm yake unaweza zimia anawanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabint wa kaz, yan tabu yup..
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Ni mume wangu tuna watoto

😀😀😀 anapitia mazitoAnapitia kipindi kigumu sana. Naona ata uandishi wake. Dah.
Uamuzi wowote utakaochukua ila mwanaume anayezini na binti anayewasaidia kazi nyumbani hao ndio wale wanaokujaga kubaka hata watoto wao wa kuwazaa. Piga chini huyo au subiria VVU hapo.
Kugonga ni kawaida ila jamaa (mume wake) amezidi.
kuna jirani yangu ni msomi mkiubwa sana, mkewe ni msomi na ana kazi nzuri sana, ajabu yake, huwa anarudi home mchana wife asipokuwepo, anamrukia house girl. wife anampenda mume kuliko mume kumpenda yeye, hivyo kila akigundua housegirl ametembea na bwanake, anafukuza house girl analeta mwingine. trend hiyo ipo muda mrefu, ni kama anamtafutia mumewe wanawake wapya kulala nao kila wakati manake kila housegirl anayekuja lazima alale naye. kuna siku sasa akaja housegirl mwenye msimamo, si akaanza kupiga kelele, wapo wawili tu ndani, anataka kumwingilia kinguvu, alivyoona kelele zimeizdi akamwachia, binti akachomoka kwenda nyumba ya jirani, mtaa mzima wamesikia makelele. wife wake aliporudi, alimchukulia tu vinguo vyake hakurudi tena ilibidi binti akae kwenye mikono salama ya majirani manake watu waliogopa wife na mumewe wasijemdhuru kupoteza ushahidi. alimpakiza kwenye gari kampeleka kwao chap ili kukwepa kesi ya kubaka. ila kuna siku kama ataendelea, lazima atalamba miaka 30.Uamuzi wowote utakaochukua ila mwanaume anayezini na binti anayewasaidia kazi nyumbani hao ndio wale wanaokujaga kubaka hata watoto wao wa kuwazaa. Piga chini huyo au subiria VVU hapo.
Na hizi ndio principles za kuongeza kwenye katiba mpya.Kugonga ni kawaida ila jamaa (mume wake) amezidi.
Hata kama mbunyes "are easily available" lazima uwe na principle zako.
PRINCIPLE ZANGU ....
1. Sitembei na mdada wa kazini (coworker)
2. Mimi nina biashara, Sigongi mteja hata siku moja.
3. Sili K ya mdada yoyote ambae nimemjua ili maisha yangu yawe rahisi. Mfano; kwasababu nina biashara ninajuana na mdada wa custom Tunduma, kodi za ndani, na kwenye taasisi nyengine za biashara. Ila marafuku kuwagonga.
4. Sili beki 3, wa nyumba yoyote ninayoishi
5. Sili K ya supplier yoyote kwenye biashara yangu.
#YNWA
Chuma ya TBL imepiga mzinga bar🤣Aaah so poa unataka uchukulie fursa😃🤣🤣
Mh, haya si mauaji..
Kaka unacheza na fursa/loose ball😃😃😃😃😃Ebu achana na ushauri wa humu, nimekucheck PM hapo ili nasisi tumkomoe..😋