Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

Ni jambo moja tu mnakosea wanawake wa kizaz hiki ni kutaka kuwa sawa na Mume/wanaume....mnajiita watetez wa haki za wanawake hahhahhaha mnataka 50 kwa 50..!! Mwanaume lijali hawez kukubali hii kinachobaki ni kutafuta nje anakuachia 50 zako....!! Hahhahahhahaha...!!
NICHEK INBOX hayo yote yanakiin mwanamke akishakosea/akijifanya mjanja na mwanaume akachukua hatua stahik mwanamke anaanza kulia il mwanaume aonekane mbaya.....!!! Hahhahahahha
 
Njoo na mimi nikutulize baby mama. Utamsahau
 
Kuna magonjwa yanaongoza kuua kuliko hata cervical CA ikiwemo presha sasa kukaa na mtu wa hvyo si kujitakia presha tu
 
Mkamuwe vya akutosha, halafu mwache akatolewa hewa huko anakoenda.

Kama hiyo haitoshi, tafuta toto moja zuri la kutokea kwao uliweke kwako hapo, lisiijuwe siri yako, wacha awe anamlamba huyo wa kwao na wewe unajifanya huelewi kabisa kinachoendelea.

Mwanamke vipi unashindwa mbinu na mwanamme? Unanshangaza.
 
Je unataka mume mwenye mume wake ,
Mambo ni mengi tulia na majembe kama hayo unapata chachu ya ndoaπŸ˜ƒπŸ˜¬
 
Pole sana dada, njoo nyumbani nikupoze na kuondoa hizo stress zako
 
Madam wewe ungeolewa na Suleiman si ungejiua kabisa.

Sisi wanaume tymeumbwa kuwapa huduma, wewe cha msingi ni kumpa zaidi akose nguvu ya kuzidisha huko nje, sasa unamnyima wewe utakuwa unakula wapi?

Mimi ninae mmoja tu naomba nijisogeze
 
Wewe jiongeze mpe mku-ndu tuone kama atachepuka πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Chai
 
Angekuwa mwanaume anasema kamkamata mke na mchepuko mmoja wanaume wangejibu " acha huyo malaya" sahivi unashauriwa umuombee, eti ataacha hahaha.
Mimi sio malaya siishi na malaya siku nikigundua tu ndoa itaishia hapo aoe huyo chautamu wake nisimbane kukaa na mie huku simridhirishi.
Sina room ya kujadiliana na mwanaume 100% nikimkamata ana mtu mwingine na wala sitajutia kuachana na malaya.
 
Kuna magonjwa yanaongoza kuua kuliko hata cervical CA ikiwemo presha sasa kukaa na mtu wa hvyo si kujitakia presha tu
Ni kweli.
Bora uachane naye kuliko kulipiza kuchepuka unajiwekea hatarini zaidi kama yeye anavyo kuweka hatarini.
 
Wewe si uliangalia hela..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…