Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk. Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda? Lazima uchague kati yangu na yeye Cr7 anaeleza pia Kwamba Nilimjibu kuwa Sitoweza kamwe kumtelekeza...