Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Pole sana kwa changamoto hiyo. Lakin siku zote binadamu tunapaswa kusimamia maamuzi yenye kutufanya tuwe na furaha na amani kwani ndo kila kitu kwenye maisha.

Unaweza ukatenga muda wa kuongea nae lakin akakuahidi atabadilika labda mkishaona. Swali je mmeshaoana na asibadilike what's next?

Kuna watu au watoto wanadhani kufanya hivyo au kujitoa kupitiliza ni kumfanya mzazi afurahi lakin kumbe sio hivyo.
Tunapaswa kujitoa kwa vitu vya msingi. Wazazi ni Mungu wetu wa pili tunapaswa kuwajibika kwao lakn si kwa utaratibu huo.

Nitakupa mfano nina rafiki angu mmoja alikuwa na mahusiano na jamaa yake. Yule bwana alikuwa haambiwi kitu kuhusu familia yake. Hata kama hana hela bora alale njaa lkn familia yake ile that's good hata rafiki angu aliapreciate hilo.Yule bwana alikuwa na dada ake alifariki akaacha watoto 2 wadogo yeye akabeba jukumu la kusomesha wakati huo kaka yake mkubwa alikuwa ameoa mwanamke aliyekuwa na watoto 3 kabla.

Yule bwana akawa anashauriwa sasa na best angu watoto walee kulingana na uwezo wako. Akawa anajibu ni kweli ili wajifunze. Aliwapeleka boarding wa kike alikuwa yuko darasa la saba .Watoto walienda shule wananunuliwa maji ya katoni Mazagazaga wakati bwana uwezo hana anaunga unga.Na alipokuja anakwama basi best angu kumfurahisha akawa anajitoa kukusupport jamaaa. Bado yule kaka ake mkubwa akikwama jamaa yake atoe support. Basi best angu akawa anamshauri kwa mwendo huu hutakuja kufanikiwa sababu hujifikirii hata wewe halafu pia unajitoa hata kwa vitu ambavyo sio vya msingi.

Kwani hiyo hela yenyewe ya kuwapeleka bording anakopa wakati hana uhakika wa kipato,,akamshauri hiyo bora uweke kwenye biashara japo kwa mwaka mmoja ukishapata uhakika ndo watoto uwapeleke bording jamaa akagoma. Basi bwana maisha Yao yakaenda binti kufika kidato Cha tatu kaacha shule kaenda kuishi kwa mwanaume.

Baada ya kila kitu kuharibika ndo akamwambia best asieee najua ningesikiliza ushauri wako. Best angu kuona mwanaume ambaye hashauriki aliamua kufanya maamuzi magumu .

Ushauri wangu; Simamia msimamo utaoona kwako unafaa kamwe usiishi kwa kumfurahisha mtu. Kama Leo anamsikiliza mama yake hivyo basi hata mkiingia kwenye ndoa bado ataendelea kufanya hivyo.

Japokuwa sheria haisemi kuwa mtoto anawajibu wa kumelea mzazi ila kutokana na tamaduni ni wajibu wetu kuwasaidia ila kwa mambo ya msingi.Hata kama ni bia basi isiwe kuendekeza.
Asante sana ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili
 
Iddi makengo nshawahi ongea nae, mshauri mzuri ila hajui kuongea na mtu, he has to go akasomee saikolojia. Yani anaweza kukukera umtukane
At least sikiliza anachokuambia alafu fanya upembuzi ya linalokufaa.
Najua unajua kwanini huwa anaongea kwa ukali.
 
Usimuache huyo,maana kukutana kwnu ni mpango wa Mungu tu ..unajua kwanini Sir God kakukutanisha nae?,unajua unachoenda kumsaidia Mungu kweny familia hiyo?,yawezekana wewe ndiye daraja?,unaweza kusitisha mipango ya ndoa kwa mapungufu ya 10%,are u asured kuna mahali yupo ambae ni mkamilifu 100%?

Unadhani huwezi malizia kumaliza mapungufu kidogo yaliyopo?,All in all mwisho wa siku mtaishi wawili tu wew na mumeo.Kumuona mama mkwe ni kikwazo hiyo ni short sight,far reaching sight mama mkwe ni just matter of time...

Nimechoka kuandika,umeniboa eti umemaind kuombwa bia,kunywa bia upate akili na madini kwa mama mkwe🥃🥃🥃😂😂😂 jokes
 
Usimuache huyo,maana kukutana kwnu ni mpango wa Mungu tu ..unajua kwanini Sir God kakukutanisha nae?,unajua unachoenda kumsaidia Mungu kweny familia hiyo?,yawezekana wewe ndiye daraja?,unaweza kusitisha mipango ya ndoa kwa mapungufu ya 10%,are u asured kuna mahali yupo ambae ni mkamilifu 100%?,unadhani huwezi malizia kumaliza mapungufu kidogo yaliyopo?,All in all mwisho wa siku mtaishi wawili tu wew na mumeo.Kumuona mama mkwe ni kikwazo hiyo ni short sight,far reaching sight mama mkwe ni just matter of time...
Nimechoka kuandika,umeniboa eti umemaind kuombwa bia,kunywa bia upate akili na madini kwa mama mkwe🥃🥃🥃😂😂😂 jokes
We Kimbioko wewe, am muslim sijihusihi na pombe, na anajua hilo kwangu kikwazo aisee
 
Pole sana kwa changamoto hiyo. Lakin siku zote binadamu tunapaswa kusimamia maamuzi yenye kutufanya tuwe na furaha na amani kwani ndo kila kitu kwenye maisha.

Unaweza ukatenga muda wa kuongea nae lakin akakuahidi atabadilika labda mkishaona. Swali je mmeshaoana na asibadilike what's next?

Kuna watu au watoto wanadhani kufanya hivyo au kujitoa kupitiliza ni kumfanya mzazi afurahi lakin kumbe sio hivyo.
Tunapaswa kujitoa kwa vitu vya msingi. Wazazi ni Mungu wetu wa pili tunapaswa kuwajibika kwao lakn si kwa utaratibu huo.

Nitakupa mfano nina rafiki angu mmoja alikuwa na mahusiano na jamaa yake. Yule bwana alikuwa haambiwi kitu kuhusu familia yake. Hata kama hana hela bora alale njaa lkn familia yake ile that's good hata rafiki angu aliapreciate hilo.Yule bwana alikuwa na dada ake alifariki akaacha watoto 2 wadogo yeye akabeba jukumu la kusomesha wakati huo kaka yake mkubwa alikuwa ameoa mwanamke aliyekuwa na watoto 3 kabla.

Yule bwana akawa anashauriwa sasa na best angu watoto walee kulingana na uwezo wako. Akawa anajibu ni kweli ili wajifunze. Aliwapeleka boarding wa kike alikuwa yuko darasa la saba .Watoto walienda shule wananunuliwa maji ya katoni Mazagazaga wakati bwana uwezo hana anaunga unga.Na alipokuja anakwama basi best angu kumfurahisha akawa anajitoa kukusupport jamaaa. Bado yule kaka ake mkubwa akikwama jamaa yake atoe support. Basi best angu akawa anamshauri kwa mwendo huu hutakuja kufanikiwa sababu hujifikirii hata wewe halafu pia unajitoa hata kwa vitu ambavyo sio vya msingi.

Kwani hiyo hela yenyewe ya kuwapeleka bording anakopa wakati hana uhakika wa kipato,,akamshauri hiyo bora uweke kwenye biashara japo kwa mwaka mmoja ukishapata uhakika ndo watoto uwapeleke bording jamaa akagoma. Basi bwana maisha Yao yakaenda binti kufika kidato Cha tatu kaacha shule kaenda kuishi kwa mwanaume.

Baada ya kila kitu kuharibika ndo akamwambia best asieee najua ningesikiliza ushauri wako. Best angu kuona mwanaume ambaye hashauriki aliamua kufanya maamuzi magumu .

Ushauri wangu; Simamia msimamo utaoona kwako unafaa kamwe usiishi kwa kumfurahisha mtu. Kama Leo anamsikiliza mama yake hivyo basi hata mkiingia kwenye ndoa bado ataendelea kufanya hivyo.

Japokuwa sheria haisemi kuwa mtoto anawajibu wa kumelea mzazi ila kutokana na tamaduni ni wajibu wetu kuwasaidia ila kwa mambo ya msingi.Hata kama ni bia basi isiwe kuendekeza.
Usahihi: Kusaidia wazazi siyo utamaduni ni wajibu! Na naomba nikusisitize,kamwe usije kutelekeza wazazi wako!
 
Tafuteni pesa . Kumtunza mama yenu bei gani kwani ndio unahisi hamutoendelea .
Haupungikiwi kwa ajili ya kutoa.
Mwambieni mama pesa ya kupanga tunayo
Kupanga sio kupoteza pesa ila tunapqnga tupate changamoto za kimaisha zaidi ile tuweze songa mbele sio sababu ya kupoteza pesa.
 
nimekuelewa mkuu
 
My dear kwa unavyomjua huyo mwanaume wako anaweza kujisimamia? Maana kushauri mwanaume ambae hana msimamo ni wa kupelekeshwa na mama[emoji848] utajichosha bure. Anaweza kubali ushauri wako sababu hataki kuachana na wewe but Utekelezaji zero, na ukiolewa nae ndo utakinywea.

Nakwambia from my experience, nilipata mkwe mwenye tabia kama za huyo wako.... siku ya utambulisho ananisifia "Masha Allah mtoto mzuri, umeumbika shape kweli kweli hapa mwanangu kapata". Baada ya hapo akawa mtu wa kuagiza ninunulie hiki, ninunulie kile kwa ufupi simu za pesa pesa zikazidi haswaa (imagine mama wa mchumba anakwambia umnunulie kitu cost yake laki7[emoji849]) . Kumbe ashajua nafanya kazi gani so familia nzima wanaamini mtoto wao kanipendea hela[emoji30][emoji30]
Nikamkaushia tena vingine nikawa namjibu sina hela, baadae mwanae alivotaka tufunge ndoa akakataa eti asubiri afanye kwanza maendeleo nyumbani. Kijana akagoma keshaamua kuoa, tukafunga ndoa mkoa tuliopo (sio kwao) though mama mtu alikuja harusini kinafiki tena kwa kuchelewa...... from there hakuna mahusiano mazuri kati yetu na familia yake.
Na huu ni mwaka wa Sita wa ndoa ila hatuna mtoto.
So my dear tumia akili yako effectively, kama utaweza mikiki na mengine yasojulikana endelea na huyo mwanaume.
Duuh! Pole sana dada. Vipi ukiamua kuachana nae ukaolewa na mwanaume mwingine unaweza pata ujauzito au alikupiga pini mazima?
 
Dah love nmesoma mkasa wako umenisisimua hatari. Sema mi watoto wala sio muhimu nkipata haya nikkosa haya mana tayar mungu alishanjaalia. Ila nimeyachukua mawazo yako nina imani yataniongoza
Hao watoto ulionao ni mmezaa wote au wewe tayari ni single mother. Je huyo mchumba wako ana kazi na maisha mazuri isijekuwa amekupendea kufaidi pesa zako tu.
 
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.

Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.

Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?

On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.

Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.

Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Wewe unataka hasimtunze mama yake acha roho mbaya. Jamaa ndio anapaswa akuskip mapema.
 
Inauma sana kusikia jamaa anakupelekea moto hadi unakojoa, bora muachane uje kwetu na sisi tupate huo utamu
 
Nashindwa kumshauri as ntaonekana namchukia mama yake, cause alisema mama yake anapenda kudekezwa. Ila mm sikujua kudekezwa yenyewe ni aina hii.

Kitendo cha yeye kufata kila anachoambiwa na mama ni tatizo tayari ndo mana nakosa hyo nguvu ya kushauri. na akifata ushauri wangu jua nipo kwenye hatari ya kuingia vita na mama mkwe
Huwa nachukizwa sana kuona mchumba/mpenzi /mke wa mtu fulani kuji compare sana na mama mzazi wa mume/mchumba/ wake, mama ana nafasi yake kubwa tu mwanamke mwingine asiingilie
 
ofcourse ila kuna vitu unaona vinawagharimu na unashindwa kufanya lolote ukiwaza ni mzazi. Bora hata wa kwangu akzngua naweza handle . wa mwenzio ishu
 
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.

Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.

Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?

On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.

Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.

Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Watakugeuza wewe duka la Mangi kimbia haraka sana
 
Back
Top Bottom