Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ametuletea hayo maagizo, uliza wakuu wote wa shule za sekondari na msingi wa wilaya ya Morogoro.We umezitoa wapi hizi habari?? Maana una tuuliza ikiwa we were ndio umeleta hapa!!
Naammwenge wa mama
Huyo ni mpuuzi sana!Walimu ni wapuuzi acha wanyooshwe
Kwa taarifa yako huo mchango huwa unawahusu watumishi wote wa umma, pamoja na wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo. Na siyo walimu pekee.Walimu ni wapuuzi acha wanyooshwe
Huo ni uzushi we bwege,Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=)
Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya kuorodhesha na kumtumia majina ya watumishi watakaoshindwa kutoa kiasi hicho cha fedha.
Amesema wakuu wote wa shule watakaoshindwa watavuliwa nyadhifa zao na walimu watanyimwa fursa ya kusimamia mitihani huku akiahidi kuwashughulikia watumishi katika kada ya afya ambao hawata toa.
Je, nikweli ameagizwa na Mh Rais au anafanya tu kwa utashi wake? Kwanini anatumia jina la Rais?
Kachangie siyo kuja kulialia humu,Ametuletea hayo maagizo, uliza wakuu wote wa shule za sekondari na msingi wa wilaya ya Morogoro.
Tena wakikataa awadinye kabisa, wanajifanyaga mstari wa mbele kuwasaidia kukwapua kura veggies ๐น๐น๐นWalimu ni wapuuzi acha wanyooshwe
Yani hao na polisi nilishawaignore kitambo sana, lolote baya liwakuteTena wakikataa awadinye kabisa, wanajifanyaga mstari wa mbele kuwasaidia kukwapua kura veggies ๐น๐น๐น
MmhWalimu ni wapuuzi acha wanyooshwe