Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!
Sasa, mbona unipa presha tena jamani? Naogopa kufikiria hivyo!Itakuwa ilikuwa zamu ya njemba mwenzio kulala nae muulize kama alitumia condom vinginevyo mkapime mwendeleze libeneke
Asante kwa ushauri! Ila roho inaumaaaaaa!Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!
Sasa, mbona unipa presha tena jamani? Naogopa kufikiria hivyo!
Sawa mkuu ,ntaanzia Dawsco!Mkuu shukuru Mungu kama hajabikiriwa tigo mkikukutana anza kukagua eneo la maji taka kwanza ukijiridhisha kuja na mengine maeneo ya kus- kaskazini
Aisay sijui niseme nini wanaume wengine sijui wamekaa vipi.Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!
Sawa mkuu ,ntaanzia Dawsco!
Ina maana ataniacha or?!Kama amechokonolewa maji taka imekula kwako mkuu
Fidel80 jaman,Kama amechokonolewa maji taka imekula kwako mkuu
Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!
Fidel80 jaman,
Mbona unamkatisha mwenzio tamaa ivo?
Mmmmmh!mie sikuwezi Fidel,Namwambia ukweli akague kwanza mamlaka ya maji taka kama yapo fit