Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!
 
Itakuwa ilikuwa zamu ya njemba mwenzio kulala nae muulize kama alitumia condom vinginevyo mkapime mwendeleze libeneke
 
Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!
 
Sasa, mbona unipa presha tena jamani? Naogopa kufikiria hivyo!
 
Asante kwa ushauri! Ila roho inaumaaaaaa!
 
unachukia bure ili hali mwenzio hajui kosa lake, vunja ukimya mwambie vile unavyojisikia.
 
Sasa, mbona unipa presha tena jamani? Naogopa kufikiria hivyo!

Mkuu shukuru Mungu kama hajabikiriwa tigo mkikukutana anza kukagua eneo la maji taka kwanza ukijiridhisha kuja na mengine maeneo ya kus- kaskazini
 
Sawa mkuu ,ntaanzia Dawsco!
 
Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!
Aisay sijui niseme nini wanaume wengine sijui wamekaa vipi.
 
Punguza hasira ma hisia mbaya,
Mpigie ongea naye na mpange kuonana,
Msikilize atakayokukwambia then
Mweleze yako ya rohon na uweke msimamo wa kutopenda alichokifanya,
Ila isiwe kwa ugomvi kiustarabu kwan yawezekana hata haelewi kuwa anachokifanya sio sahihi,
Usipende kususa susa,wanaume hawako ivo.
 
Njema flani ilikuwa inakula mzigo., na asilimia kubwa mtandao utakuwa unahusika zaidi viwanja vya ugenini..))
 
wakati mwingine tunakosea kuwaza...nakujenerolaizi mambo kabla ya kupata uhakika...
huna sababu yoyote kukaa kimya, wenzio wanapotea wiki na wanatafutwa, ww masaa machache imekua ishu?
vunja ukimya sema nae, wewe ndio kidume bana, otherwize mtategeana ivo mwisho wa siku ndo kwishney
 
Nachukia wanaume wakisusa/kuzira bila sababu ya msingi. Sasa kama kakukasirisha siumpigie umweleze kwamba unapenda hata awe anakubeep badala ya kukaa kimya kutwa? Hapo ungekua unemwambia akakujibu "Usinisumbue/Utajiju" ningekuelewa, ila kwa hili sio unachemsha ila unaunguza. Embu kua bana. . .Khaaaa!!

Nami nilitaka kusema mapenzi ya mwezi mchanga matatizo.Utakuta jamaa mpaka saa hizi hajala eti bado ana hasira
 
Back
Top Bottom