Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Hatujafikia hiyo hatua. Tuweke mikakati ya kunufaika na rasilimali asilia kwanza, mapato yake ndio yatafanya hiyo kazi ya kuwajengea wananchi.Hawatakiwi kulipwa fidia badale yake serikali ijenge majengo ya ghorofa Kuanzia 6 mpaka 10.
Mfano jengo moja lichukue familia 20 hadi 30, then majengo 10 kuna familia kati ya 200 hadi 300,
Kwa style hii kuna maeneo yatabaki wazi na serikali inaweza kufanya vitu vingine kama recreational parks na uwekezaji mwingine.
Ukiwapa fidia wataenda kutengeneza manzese nyingine huko waendeko.