Je, nini kilimpoteza mwanamuziki Jim Sullivan baada ya kuimba kuhusu kutekwa na Aliens?

Ni kweli haya unenayo???
Kuna ushahidi??

Ushahidi gani unaotaka zaidi ya huu wa nilio uoobserve mwenyewe. Lakini huoni udhaifu wa USA uliowapa mwanya Urusi kuwachagulia Rais Trump. Kusema ukweli Trump kachaguliwa na Israel hawa Warusi wanasingiziwa tu kama aina nyengine ya propoganda kupoteza uhalisia wa kilichotokea.
 
Nimekuelwa sana mkuu hasa hiyo verse ya mwisho..
Kiongozi binaadam ndio kiumbe pekee anayependwa na kuthaminiwa na Mungu. Alimpa uwezo mkubwa kulikobkiumbe chochote ndio maana leo hii binaadam tunalindwa na malaika ila wao hawalindwi
 
Mkuu nifafanulie hapo kwenye ushirikiano wa Alliens na serikali ya marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U.F.O hawapo! Hawa watu wanatuchezea akili tu, kuna mambo yao wanataka wayafanye!
D.B. Cooper inawezekana kwasabu ni kabinadamu kasumbufu tu, na watu walitekwa hawakukafahamu. Tukaache kaendelee kunogesha ulimwengu wa hijackers[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…