The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Labda anazungumzia Korea Kaskazini ila sio USA.Ni kweli haya unenayo???
Kuna ushahidi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anazungumzia Korea Kaskazini ila sio USA.Ni kweli haya unenayo???
Kuna ushahidi??
Ni kweli haya unenayo???
Kuna ushahidi??
Nimekuelwa sana mkuu hasa hiyo verse ya mwisho..Kipimo/point tunachotumia ili kutambua kuwa kuna viumbe wenye ufahamu zaidi yetu
Si matukio ya ajabu ajabu yanayo endelea kutokea kwa watu duniani
Ila ni juu ya umaana kwa ujumla wa maisha
Yanayo onekana yana mitindo mingi yenye kustaajabisha.!
Lakini yasiyo na kusudi lenye mvuto
Inaonekana ainabinadamu inaishi kiutamaduni Tu
Yenye kudhihirisha ufahamu mchanga Mno katika welewa
Kulinganisha na utambuzi ambao kiumbe anao kuweza kusababu vitu_ni hilo Tu linalo tuchochea kuwa na shaka
NB:
Ni kwamba ufahamu wa viumbe umebaka umaana/kusudi la maisha kwa ujumla_Hilo tu
That why we say there is another hiden inteligent race than us
Who are capable for those dam things around
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo chacha.[emoji3]Lisemwalo lipo, Kama kweli tunaamini katika Yesu na Mungu iweje tupinge uwepo wa Aliens
Picha za Yesu kivipi ndugu? Haya mambo yanayohusisha imani ni fumbo manake hata kuhusu Aliens kuna various proof abt them, cha msingi ni kuamini unachoona sahihi.Yesu alikuwepo vitabu vinaelezea,sayansi hadi picha zake..hivyo ukishamjua Yesu basi Huna haja ya ku-doubt uwepo wa Mungu
Hakika mkuu hizi issue zote zimekaa kiimani kwahiyo kila mtu yupo huru kuamini anachoona kwake sahihi... Naamini katika uwepo wa Yesu na Mungu lakini hainizuii kuamini uwepo wa AliensHapo chacha.[emoji3]
Watu wanapinga tu ila vitabu pendwa vinatupa shavu[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunathamini shaka lakoHakika mkuu hizi issue zote zimekaa kiimani kwahiyo kila mtu yupo huru kuamini anachoona kwake sahihi... Naamini katika uwepo wa Yesu na Mungu lakini hainizuii kuamini uwepo wa Aliens
Mkuu nifafanulie hapo kwenye ushirikiano wa Alliens na serikali ya marekanimkuu heshima kwako kaka mkubwa..[emoji4] [emoji4]
Lakini mkuu kumbuka kuwa kifo cha huyu jamaa kimeleta utata mwingi sana kwa sababu aliwahi kuhukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kesi ya kumuua mke wake wa pili na kupelekea Hatimaye kushtakiwa na mauaji ya mke wake mwaka 1998, alikimbilia Costa Rica, kisha Panama, Venezuela na hatimaye kwenda Thailand, ambapo alikamatwa mwaka 2002.
Alirejeshwa Atlanta kwa kesi, alihukumiwa mwaka 2006 na kuhukumiwa maisha ya gerezani.
Alikuwa na mwendesha mashtaka David Boone ambaye alikuwa anamtetea kwani inasemekana alifarakana na huyo mke wake wa pili.
Mke wake aliamua kumshitaki klkwani aliamini kuwa endapo kesi itafika mahakamani basi sehemu ya mali za Sullivan atapewa huyo mwanamke kwani alidai taraka.
Ndipo bwana James akamua kumtafuta jangili mmoja anaitwa Phillip Harwood na kumpa kiasi cha , $25,000 kumuua mke wake Lita Sullivan alipofungua mlango wa nyumba yake ya mji wa Atlanta ..
Lakini kutoka na kesi hiyo kuunguruma mahakamani kwani ilikuwa ni lazima James Sullivan ahukumiwe kifungo cha maisha lakini wakili wake alimtetea ambapo ilipelekea kukamatwa kwa yule jangili aliyelipwa pesa ndefu na kufungwa miaka 20 .
Lakini James alifungwa kifungo cha nje kwani wakili wake alimtetea kuwa alikuwa bado ana mawazo juu ya kifo cha mke wake hivyo hangeweza kuvumilia maisha ya gerezani ,.
kutokana na kuwa na mawazo ya kufiwa na mke wake au sijui alikuwa anafanya unafiki ndo akawa na mawazo ya hapa na pale na kupelekwa kujiua yeye mwenyewe shambani huko bila kumhusisha mtu..
shida ilikuwa ...... ni wapi mwili wake ulipotelea,..
Baadhi ya documentary zinasema kifo chake kinahusishwa na FBI waliokuwa wanamsaka kwa kuwa alikuwa na makosa mengi sana ikiwemo la kuimba nyimbo ambazo zilikuwa zinawapa hofu kubwa watu( Alliens and UFO) na kukimbiza gari hasa nyakati za usiku kwa kasi sana ..japo alipewa onyo lakini hakuiacha tabia ile..
Lkini pia inasemekana kuwa familia ya marehemu Lita ndo ilipanga njama za kulipiza kisasi kwa kumuua binti yao..hivyo na wao wakaamua kumpoteza bila ushahidi
Lakini documentary zingine zinasema jamaa aliuliwa na FBI kwani alianza kuzungumzia mambo ya mental abduction yaliyokuwa yanafanywa na Aliens kwa viongozi wastaafu katika serikali ya marekani kuhofia kutoa siri za uhusiano wa seeikali ya marekani na Viumbe toka sayari za mbali( Aliens)..
Lakini ushahidi mwingine unasema kuwa ilikuwa ni hofu yake ya kuogopa kifungo cha maisha hivo aliamua kujiua kwa kuwa alikuwa mkiwa aliyejaa hofu na roho ilikuwa inamsuta kwa kumuua mkewe...
Mpaka leo bado FBI wanaendelea na uchunguzi sijui watapata jawabu juu ya kupotea kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji111] [emoji111]Cc. Na wote niliowasahau
Astelia bbade snowhite Kudo Ambiele Kiviele Wick lifecoded undertwentyboy Use brain Heriel Iyegu nana jolie Shunie Mshana Jr zitto junior Malcom Lumumba The MaskmaN theriogenology financial services
@Nanaa jolie Iyegu hearly impongo Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Palantir Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Ziroseventytwo Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern katib mkoa
Naren Son of Gamba Charaxes GuDume DON Crelicuzio Humble African Bitoz Mzigua90 Raynavero baba swalehe Chiwaso AROON Damushin
Salute Comrades
Intro
Mnamo mwaka 1969 mwanamuziki aitwae Jim Sullivan alirekodi albamu aliyoipa jina la U.F.O, ndani ya albamu hiyo kuna mistari anaimba kua ..aliacha familia yake akawa ametekwa na aliens . Baada ya miaka sita gari lake lilikutwa shambani jangwani kwenye jiji la New Mexico mpaka leo hajapatikana wapi alipo.
Anaitwa James Antony Sullivan kazaliwa August 13 1940 katika eneo la san Diego jijini California marekani. Alikua muimbaji, mtunzi na mpiga gitaa.
Jinsi alivyopotea
Tarehe 4 march 1975 Jim Sullivan aliondoka jijini Los Angeles akielekea Nashville, alikua yeye peke yake ndani ya gari lake aina ya Volkswagen. Siku iliyofuata polisi wa patrol barabarani walimuonya kutokana na uendeshaji wake wa kasi hivyo akaona apumzike kwenye Motel ya La mesa eneo la santa rosa jijini New Mexico, lakini taarifa zingine zinasema hakulala hapo kwenye hiyo hotel, aliacha funguo kwenye mlango wa chumba cha hotel (ndani).
Siku iliyofuata gari lake lilikutwa umbali wa Maili 26 kwenye shamba lililokua linamilikiwa na familia ya Gennetti, na hakuna yoyote aliyemuona akitoka ndani ya hilo gari. Ndani ya gari lake kulikutwa Pesa,gitaa,karatasi, nguo na copy kadhaa za albamu yake. Hakuonekana tena mpaka leo watu wanasema kua labda aliuawa, au alipotea, wengine wanasema kua inawezekana ni kutokana na mambo aliyoimba ndani ya wimbo wa Allien abduction.
Kuna mwili pia ulipatikana maeneo ya shambani uliofanana na jim lakini hakua yeye hivyo mpaka leo hajaonekana wala hajulikani alipo.
Ndugu wana Jf je nanyi mwaona nini kitakua chanzo cha kupotea kwake?
Na kwa masrahi yapi labda mpaka wampoteze?
Msimamo wa mwandishi kuhusu Unidentified Flying Objects (UFO)
Mimi Da'Vinci naamini kua hakuna cha UFOs wala Allien, ni mkakati wa nchi kubwa kubwa kututisha tu wanadamu na kutu Brain wash tu.
Hao aliens wapo!
Ni mambo tu wanayotengeneza ili kuona dunia si sehem salama.
Vitu kama vile..
Uwepo wa huo mkusanyiko wa gesi nakubali.
- Ozone layer kutoboka
Wengi nimeshuhudia wakifa kwa ukimwi
- Virusi vya ukimwi
Lisemwalo lipo kiuhalisia hakuna kinachozuka bila chanzo au sababu.
- Kutuaminisha kua kuna mtu aliyewahi tokea anaitwa D.B Cooper wakati hajawahi kuwepo.
Majabali yapo kibao huko juu unaweza shuhudia kimondo cha mbozi mbeya. Pia yapo mawe makubwa sana yaliyodindoka huko juu na kuacha madhara makubwa sana kwa binadamu kwa kuwafunika na kutengeneza shimo kubwa au crater mfano kimondo kilichoanguka arizona
- Kwamba kuna jiwe angani linakuja kwa kasi kuigonga dunia
.![]()
Ahsante
- Etc etc
Da'Vinci