VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa. Karibuni mtoe maon na uzoefu wenu wakurungwa. Asanteni.