Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umasikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo anailipa kwa utelezi
Nawe usimtafute tenanimemwambia hivo hajenijibu tena.
Labda anipe utelezi kama riba tu, ila deni liko palepaleUyo anailipa kwa utelezi
ndio ukaze sio akushike mic kidogo ufute deni.Labda anipe utelezi kama riba tu, ila deni liko palepale
ndio ukaze sio akushike mic kidogo ufute deni.
Utafiti wangu usiyo rasmi madada wanatumia sana bundle kwenye mavideo ya Tiktok na Instagram, sasa kwa haya mabundle ya Tanzania ni wale wanawake wenye kazi zao za maana ndio wana uwezo wa kununuwa monthly unlimited bundle, hawa wengine hawana uwezo wa kuwa bundle wanalotaka matokeo yake ndio hayo kuombaomba hovyo bundle.Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa. Karibuni mtoe maon na uzoefu wenu wakurungwa. Asanteni.
Sasa mwanamke asiishi kwao unataka aishi kwa nani?Mwanamke anaomba Vocha
Mwanamke anaishi kwao
Mwanamke Hana kazi
Hizo aina 3 zitaniskia kwenye radio ya WAPO FM
kwakeSasa mwanamke asiishi kwao unataka aishi kwa nani?
Kwahiyo mia tano tu ndo unafungua uzi, ungeombwa laki mbili siku moja baada ya kuchukua namba kama mimi ingekuwaje?
Kelvin Samuels the og😂Kwa maisha yetu ya kibongo bongo mwanamke anapima mahusiano kwa kutest kupewa pesa. Msingi wa mahusiano kwa mwanamke wa kitanzania ni kupewa pesa bila kutumia akili.
Yupo radhi asiolewe hadi akija kustukia ni umri umeenda ila sio akae na mwanaume ambaye hana kipato anachotaka awe nacho wakijitafuta na haya maisha. Wengi hawapendi maisha ya kuanzia chini ndio maana kitu cha kwanza anakuomba hela ili kupima uwezo wako wa kumpatia pesa.
Unafukuzwa bila kuambiwa toka hapaHabarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa. Karibuni mtoe maon na uzoefu wenu wakurungwa. Asanteni.