Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Msichana anaolewa kutokea kwa wazazi wake, mwanamke ndio anaolewa kutokea kwake.kwake
Mwanamke yeyote anaepaswa ingia katika NDOA (aliekamilika) anatakiwa aolewe akitokea KWAKE na sio kwa WAZAZI.