Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa. Karibuni mtoe maon na uzoefu wenu wakurungwa. Asanteni.
 
Kwani shida ni nini?Umeshindwa kumtumia vocha ya ruzuku ya mbolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…