Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

Lengo lako ni umkule

Lengo lake ni akuchune

Jifanye mjinga zuzu mtimizie lengo lake kwa siku mbili tatu hadi ajihisi kapata LOFA.

Mkule haraka iwezekanavyo ndani siku mbili tatu hizo kisha Anza ku behave like a Man.

Misimamo mingi,sheria nyingi,afate protokali ndio muende sawa.
 
Utafiti wangu usiyo rasmi madada wanatumia sana bundle kwenye mavideo ya Tiktok na Instagram, sasa kwa haya mabundle ya Tanzania ni wale wanawake wenye kazi zao za maana ndio wana uwezo wa kununuwa monthly unlimited bundle, hawa wengine hawana uwezo wa kuwa bundle wanalotaka matokeo yake ndio hayo kuombaomba hovyo bundle.

Msiwahisi vibaya kinachowasumbuwa ni mubundle ya kuangalia video, na video zinakula bundle hatari kiasi kwamba mimi binafsi nina Aleji kabisa na mavideo labda niwe hotelini natumia free Wi-fi au niwe na monthly unlimited bundle
 
Kama kakuomba vocha tu hapo una afadhali sana, watu tushaombwa kodi hapo hapo ndani ya nusu saa.
 
Kwa maisha yetu ya kibongo bongo mwanamke anapima mahusiano kwa kutest kupewa pesa. Msingi wa mahusiano kwa mwanamke wa kitanzania ni kupewa pesa bila kutumia akili.

Yupo radhi asiolewe hadi akija kustukia ni umri umeenda ila sio akae na mwanaume ambaye hana kipato anachotaka awe nacho wakijitafuta na haya maisha. Wengi hawapendi maisha ya kuanzia chini ndio maana kitu cha kwanza anakuomba hela ili kupima uwezo wako wa kumpatia pesa.
 
Wanaume tunafel wapi? MWANAMKE AKIKUOMBA HELA KUPIMA UPENDO WAKO KWAKE NA WEWE MNYIME ILI UPIME UPENDO WAKE KWAKO ,Simple tu
 
Kelvin Samuels the og😂

Gone too soon.
 
Unafukuzwa bila kuambiwa toka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…