Huu ukweli wengi wao watajifanya hawajauona.WENGI wanatoa mimba,, akitoa mimba kama tatu hivi ni sawa na mtu aliyezaa watto watatu. full stop hakuna sababu nyingine
Umewaonaje Dina?Mbona wazungu nyonyo hazilalii hata wakizaa wanafanya nini
Hata nyanya hulegea ikibinywa binywa sembuse titiwanaume ndo tatizo huanza kuyabinya, kuanzia wanapotongoza mpaka mpaka siku anabeba mimba!
Kutabak na kitu hapo?
Labda useme hivyo ila kinyume na hapo mmetuzidikiherehere tu wala hatumaanishi
Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
Nimemnyonyesha mwaka mmoja,tena nilitaka anyonye miaka miwili,ila alikataa mwenyeweHukunyonyesha kwa sababu ulikuwa unamatatizo
mimi nisivoyapenda aaaghrrrr...I like boobs LIKE YOURS.
ShindwaaaNjoo niyanyonye yatakuwa mazuri tu π π π π π
[emoji23][emoji23] wanaume viumbe wa ajabu sanaPrincess mama, yan km kuna vitu vinanitesa nikiviona ni BOOBS... ww sio muhanga, ww ni deal, fanya km kuni -pm # tushauriane, yan hasa pale yanapojaa nikitia lips zangu hapo maumivu yote kwisha![emoji39]
Nyie leo mmeamua kutuvunja mbavu tuNetball na basket ukiyapigisha si ndio yataongezeka!
Shauri yako
Acha uongo, huwajui watoa mimba wewe!
Kwan tuna miguu mi3[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23] wanaume viumbe wa ajabu sana
[emoji1] [emoji120]Huko mjini ndiko wanaongoza kulegea matiti sijui nako wanalima lami? [emoji6] [emoji6]
Hebu fungua nihakikishemimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.
nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk