Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Dont give up!!?

I will never give up!?

Hii ni lini!?
Hii wakati ule wa kesi ya ugaidi iliyotengenezwa kwa mchongo na chama cha mambuzi

Ni kwenye ile kesi ambayo taasisi ya Mahakama ilidharaulika na kila mwananchi kwa upumbavu wa baadhi wa majaji

Kuna majaji walijaribu kuharibu taswira ya Mahakama mpaka sasa Mama ameunda Tume ya kuangalia mfumo wa haki Tanzania chini ya Jaji mstaafu Othman Chande

Taaluma ya sheria kila mwananchi aliona kuna ujinga mkubwa sana Mahakamani

Kwenye nchi zinazojielewa yule Jaji Siyani na Tiganga walipaswa kufutwa kazi na kufunguliwa mashtaka kwa kuharibu pesa za Serikali na kuharibu taswira ya Mahakama mbele ya raia

Kesi ya Mbowe ili onyesha hakuna haja ya watu kusoma sheria bali Jaji ni pambo tu linalosukumwa na upepo kama jani kavu au mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma

Wale majaji mpaka Leo huwa najiuliza walipewa vipi ujaji au ndio matobo ya katiba anayosema mbunge wa ccm
 
Kwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu!?? Kwanini kiherehere!!?
Those are international diplomat, Ndio wanaokufanya wewe upige kelele hapa JF

Hao ndio wanaotoa pesa za kuendesha miradi yote ya barabara na maji Tanzania

Hao ndio kila kitu kwa nchi zote za Africa

Ukisikia watu wanaomba msaada wa Fedha huko IMF na World Bank ujue ni pesa za hao mnaowaita mabeberu

Hao ndio wanaimiliki Facebook, Twitter, WhatsApp, App store, Android store

Hao ndio wamiliki wa Internet au WWW

ukiandika www.jamiiforum. com ujue ile wwww ni ya kwao

Wana Fuatilia kwa kuwa hawawezi toa pesa kwa nchi zinazopindisha sheria

Wana Fuatilia wanataka pesa zao zitumike kwa kufuata sheria sio kwa mambo ya upuuzi wa kesi za mchongo za ugaidi

Ukisikia deni la Taifa linakuja ujue hao ndio mabeberu wenyewe wanakusaidia chanjo za uviko na madawa ya ukimwi na Tb

Ukisikia dawa za msaada za ebola, Surulia kwa watoto ujue msaada wa kutoka kwenye nchi za huyo Mama
 
Bwashee naona umeamua kutukumbusha machungu tuliyokuwa tumeanza kuyasahau. Lisu ni bure kabisa, jamaa akatuitisha kuingia kwa road kufanya maandamano, kumbe yeye akasepa kwenda ubalozini. Sisi tuingie road tuvunjwe miguu wakati yeye anakula kuku kwa mrija ubalozini. Wanasiasa siyo watu wa kuaminika.
 
Wauaji nyie.
Muda wenu uliisha.
 
Hii wakati ule wa kesi ya ugaidi iliyotengenezwa kwa mchongo na chama cha mambuzi

Ni kwenye ile kesi ambayo taasisi ya Mahakama ilidharaulika na kila mwananchi kwa upumbavu wa baadhi wa majaji

Kuna majaji walijaribu kuharibu taswira ya Mahakama mpaka sasa Mama ameunda Tume ya kuangalia mfumo wa haki Tanzania chini ya Jaji mstaafu Othman Chande

Taaluma ya sheria kila mwananchi aliona kuna ujinga mkubwa sana Mahakamani

Kwenye nchi zinazojielewa yule Jaji Siyani na Tiganga walipaswa kufutwa kazi na kufunguliwa mashtaka kwa kuharibu pesa za Serikali na kuharibu taswira ya Mahakama mbele ya raia

Kesi ya Mbowe ili onyesha hakuna haja ya watu kusoma sheria bali Jaji ni pambo tu linalosukumwa na upepo kama jani kavu au mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma

Wale majaji mpaka Leo huwa najiuliza walipewa vipi ujaji au ndio matobo ya katiba anayosema mbunge wa ccm
Kesi ya Mbowe haikuwa ya mchongo, it was for real. It was proved that 3 disgraced ex commandos were hired by Mbowe to kill Moshi DC ole Sabaya and cause mayhem in the country. It was proved by tigopes that they were paid for the trip to Moshi. They were arrested on a sting operation before they reached Moshi, complete with their guns and anmunition. The Court reached a decision of Case to Answer before the President to intervened - we do not hang our ex Leaders, however bad they may be later.
 
Tatizo la kula maharage mabovu ndio unakuwa na akili kama hizi
 
Back
Top Bottom