t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Nadhani wengi mmesikia kuhusu tukio la Lissu kutekwa akiwa nje ya Ubalozi baada ya uchaguzi mkuu.
Sasa Naibu Balozi wa Ujerumani aliyemchomoa Lissu toka kwa watekaji wake ni huyo anayeonekana ktk video.
Je, bila huyu Mama nini kingemtokea Tundu Lissu? Je, tungekuwa naye leo hii?
Unaweza kumuona hapo ktk video.
JokaKuu!!
Huyu mama balozi ni alikuwa makini pia !, na hii inadhihirisha pia how decent and precise vetting systems works kwa wenzetu wanapochagua viongozi wao, hasa hawa wanaowaleta huku africa. wanaleta watu makini sana, Mama wa spot on, and outsmarted kila mwenye nia ovu siku hiyo.