Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

Kesi ya Mbowe haikuwa ya mchongo, it was for real. It was proved that 3 disgraced ex commandos were hired by Mbowe to kill Moshi DC ole Sabaya and cause mayhem...
Zaidi ya kiingereza kibovu hakuna la maana umeandika.
 
Kesi ya Mbowe haikuwa ya mchongo, it was for real. It was proved that 3 disgraced ex commandos were hired by Mbowe to kill Moshi DC ole Sabaya and cause mayhem in the country...
Ajabu leo Mbowe yuko huru anashinda Ikulu, Sabaya hadi leo ananyea debe.

Msicheze na watoto wa mjini mtawaumiza wazazi wenu bure.
 
Back
Top Bottom