Hii wakati ule wa kesi ya ugaidi iliyotengenezwa kwa mchongo na chama cha mambuziDont give up!!?
I will never give up!?
Hii ni lini!?
Kwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu? Kwanini kiherehere!!?Hii wakati ule wa kesi ya ugaidi iliyotengenezwa kwa mchongo na chama cha mambuzi....
Those are international diplomat, Ndio wanaokufanya wewe upige kelele hapa JFKwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu!?? Kwanini kiherehere!!?
But they can be deported as well... Uhuru una mipaka.Those are international diplomat, Ndio wanaokufanya wewe upige kelele hapa JF....
Injustice anywhere is injustice everywhere.Kwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu!?? Kwanini kiherehere!!?
Liers.But they can be deported as well... Uhuru una mipaka.
Wauaji nyie.Bwashee naona umeamua kutukumbusha machungu tuliyokuwa tumeanza kuyasahau. Lisu ni bure kabisa, jamaa akatuitisha kuingia kwa road kufanya maandamano, kumbe yeye akasepa kwenda ubalozini. Sisi tuingie road tuvunjwe miguu wakati yeye anakula kuku kwa mrija ubalozini. Wanasiasa siyo watu wa kuaminika.
Diplomat huwa ni majasusi na mara nyingi wanakuwa na inside stories nyingi kutoka ndani ya nchi husika
Bwashee kwani wewe uliingia barabarani?Wauaji nyie.
Muda wenu uliisha.
But they can be deported as well... Uhuru una mipaka.
Doh,Kwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu!?? Kwanini kiherehere!!?
Kesi ya Mbowe haikuwa ya mchongo, it was for real. It was proved that 3 disgraced ex commandos were hired by Mbowe to kill Moshi DC ole Sabaya and cause mayhem in the country. It was proved by tigopes that they were paid for the trip to Moshi. They were arrested on a sting operation before they reached Moshi, complete with their guns and anmunition. The Court reached a decision of Case to Answer before the President to intervened - we do not hang our ex Leaders, however bad they may be later.Hii wakati ule wa kesi ya ugaidi iliyotengenezwa kwa mchongo na chama cha mambuzi
Ni kwenye ile kesi ambayo taasisi ya Mahakama ilidharaulika na kila mwananchi kwa upumbavu wa baadhi wa majaji
Kuna majaji walijaribu kuharibu taswira ya Mahakama mpaka sasa Mama ameunda Tume ya kuangalia mfumo wa haki Tanzania chini ya Jaji mstaafu Othman Chande
Taaluma ya sheria kila mwananchi aliona kuna ujinga mkubwa sana Mahakamani
Kwenye nchi zinazojielewa yule Jaji Siyani na Tiganga walipaswa kufutwa kazi na kufunguliwa mashtaka kwa kuharibu pesa za Serikali na kuharibu taswira ya Mahakama mbele ya raia
Kesi ya Mbowe ili onyesha hakuna haja ya watu kusoma sheria bali Jaji ni pambo tu linalosukumwa na upepo kama jani kavu au mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma
Wale majaji mpaka Leo huwa najiuliza walipewa vipi ujaji au ndio matobo ya katiba anayosema mbunge wa ccm
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana..bila huyu Naibu Balozi kuingilia kati nadhani Lissu angepotea kama Ben Saanane na Azory Gwanda.
kiherehere ni matako yakoKwanini huyu mzungu anajihisi yanamuhusu!?? Kwanini kiherehere!!?
Tatizo la kula maharage mabovu ndio unakuwa na akili kama hiziKesi ya Mbowe haikuwa ya mchongo, it was for real. It was proved that 3 disgraced ex commandos were hired by Mbowe to kill Moshi DC ole Sabaya and cause mayhem in the country. It was proved by tigopes that they were paid for the trip to Moshi. They were arrested on a sting operation before they reached Moshi, complete with their guns and anmunition. The Court reached a decision of Case to Answer before the President to intervened - we do not hang our ex Leaders, however bad they may be later.