Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

JokaKuu!!
Huyu mama balozi ni alikuwa makini pia !, na hii inadhihirisha pia how decent and precise vetting systems works kwa wenzetu wanapochagua viongozi wao, hasa hawa wanaowaleta huku africa. wanaleta watu makini sana, Mama wa spot on, and outsmarted kila mwenye nia ovu siku hiyo.
 
Kesi ya Mbowe ili onyesha hakuna haja ya watu kusoma sheria bali Jaji ni pambo tu linalosukumwa na upepo kama jani kavu au mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma
Kupitia maswali ya Kibatala, Malya ba wenzake, watu wengi walipenda kusoma na kuijua vyema taaluma ya sheria.
 
..bila huyu Naibu Balozi kuingilia kati nadhani Lissu angepotea kama Ben Saanane na Azory Gwanda.
Kwa mujibu wa lLsu anasema walipofika central , mama alimsubiri pale nje na hakutoka , baadaye akaja mtu kumshawishi mama aondoke kwa kumtishia kuwa pale sio salama sana kwake !! Akamjibu 'kama sipo salama kwenye kituo kikuu cha polisi , ni wapi nitakuwa salama Tanzania ' sentesi fupi sana ila ilibeba maana kubwa sana.
 
Duu wewe kama siyo mjukuu wa Mangungo basi hupo mbali sana na ukoo wake si kwa utumwa huo wa akili....Wao wanachukua ngapi kutoka kwetu?
 
Umemjibu Zuzu kadri ya Uzuzu wake.
 
Hivi kumbe walishafanikiwa kumkamata?
 
Ndo akili zenu CCM
 
How??? And it was proved by which Court and what the legal action taken positively for the benefit of our country?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Duu wewe kama siyo mjukuu wa Mangungo basi hupo mbali sana na ukoo wake si kwa utumwa huo wa akili....Wao wanachukua ngapi kutoka kwetu?
Wanachukua kwa sababu nyie ji wajinga. Ndio maana Trump alisema watu wa aina yako mkipewa Marekani na wao kuja huku basi baada ya miaka 5 nyie ndio mtaomba misaada Afrika.
 
Nadhani angeteswa na angefungwa jela pengine wangekuja kusema ameugua amepelekwa hospital na amefariki Kwa ugonjwa,after some time.
Kumbe Mungu alitenda kwa wema wake kabisa. Yaani kumuondoa mpanga mipango hiyo miovu kwa njia yeyote ile iwe Corona, kipindupindu au hata Kaswende!
Binadamu gani huyo asiyependa wengine waishi na kufurahia uumbaji wa Mungu?
Sasa hayo ni kwa nchi ambayo sio mali yake, jee akukute umepewa chakula nyumbani kwake binafsi sii anaweza agiza nawe upikwe supu akunywe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…