Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

It seems You don't know anything about BBC. What your saying is your thoughts and imagination
 
BBC ni wanoko sana
Habari zao wanafuata serikali ya UK wanasemaje ndio nao wanafuata hata kama ni haki hawasemi
Rejea Hamas na Israel tu Rishi aliposema tu nao Waka base upande wake
Ila kuna Radio moja hapa inaitwa LBC wanapinga ujinga sana wao wanaongea na kuwaweka kitimoto live viongozi
Mimi naangalia TV news kama Al Jazeera ya kiarabu/English na RT International na bora hata DW
Mkuu yani kwamba RT nayo ni bora? Kituo ambacho mtazamo wa Putin nao ndio wanafuata huo huo. Ukiniambia wanatoa habari unazopenda nitakuelewa lakini hawana ukweli wowote hao bora hata BBC.
 
Mkuu yani kwamba RT nayo ni bora? Kituo ambacho mtazamo wa Putin nao ndio wanafuata huo huo. Ukiniambia wanatoa habari unazopenda nitakuelewa lakini hawana ukweli wowote hao bora hata BBC.
Wote ni wale wale tu kwa sasa
Nilikuwa mpenzi wa News sana ila kuna wakati niliacha na kuwa nachungulia tu kidogo
Kwa hapa naangalia zaidi local news ndio muhimu zaidi
 
1. First of this is not the Declaration which is being discussed.
2. Second the problem is not about the blessing of people/couples because I understand that if the blessing of people/couples was a problem, priests and pastors wouldn't be going to offer services to prisons where there are inmates who have committed various and serious crimes. Yet, these people are prayed for and blessed as well. So, it a blessing meant only to holy people and how would you know that a person is holy before you bless him or her?
3. I think the problem was/is on the blessing of "same-sex unions" - to legitimise, endorse these unions. This is the impression given by people who contribute to the discussion - that the Pope has endorsed the blessing of same-sex unions and that is why I have demanded to be given any paragraph of the Declaration from paragraph 1 to 45 which says so. Until now nobody has quoted the document, but only those who dispute the document quote opinions of other people. I want a person to quote what the document/the Declaration says.
4. The above headline reads "a possibility of blessing of couples in irregular situations" - now does a blessing mean to invoke God to legitimise/endorse the irregularity a person has or is it meant seek God's help to overcome individual weaknesses/sins?
5. My understanding of a blessing is not to endorse people's sins or weaknesses, but to seek God's grace to be transformed into better persons and I don't know whether there have been ever such blessings - that when a person goes for a blessing asks God to make that person continue sinning or misbehaving, instead of leading that person to holiness/eternal life.
5. Every end of mass the faithful are blessed and told "go in peace". Now, I understand that every faithful has his or her own sins and weaknesses and I'm wondering whether the blessing he or she receives at the end of mass means that he or she should persist in his or her sins and weaknesses. Is this the thing you want me to believe that the Catholic Church is now blessing sins and weaknesses of her faithful instead of the faithful themselves? In my opinion, only an unintelligent person can buy it.
 
Hakuna kama Yehova,

1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Nikagundua pia Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Nimebaini baada ya kuivuruga Katoliki Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu wa Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Jakobo ambae pia ni Mungu wangu na kwaasili ananguvu sana.

#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC kuanzia Sasa.
Watu wanaongozwa na Papa asiye na marinda [emoji35][emoji35][emoji35]
IMG_20231231_013530.jpg
IMG_20231230_033040.jpg
 
Back
Top Bottom