Maaskofu walikua wanapinga nini mbona hawajawahi kupinga kabla mpaka papa alipoongea?
Na wewe huelewi ninachokisema:
1. Mara tu baada ya waraka (Declaration) kutoka,
2. BBC wakaripoti kwamba Papa amebariki Kanisa Katoliki kubariki ndoa za mashoga.
3. Lakini kwenye Declaration hakuna kitu kama hicho.
4. Mfano, Paragraph 4 ya Declaration inasema hivi: Pope Francis’ recent response to the second of the five questions posed by two Cardinals[4] offers an opportunity to explore this issue further, especially in its pastoral implications. It is a matter of avoiding that “something that is not marriage is being recognized as marriage.”[5] Therefore, rites and prayers that could create confusion between what constitutes marriage—which is the “exclusive, stable, and indissoluble union between a man and a woman, naturally open to the generation of children”[6]—and what contradicts it are inadmissible. This conviction is grounded in the perennial Catholic doctrine of marriage; it is only in this context that sexual relations find their natural, proper, and fully human meaning. The Church’s doctrine on this point remains firm." Paragraph 5 inasema hivi: "This is also the understanding of marriage that is offered by the Gospel. For this reason, when it comes to blessings, the Church has the right and the duty to avoid any rite that might contradict this conviction or lead to confusion. Such is also the meaning of the Responsum of the Congregation for the Doctrine of the Faith, which states that the Church does not have the power to impart blessings on unions of persons of the same sex."
3. Maaskofu kadhaa wa Afrika wamejitokeza kufafanua na kupinga 'misinterpretation' na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya vyombo vya habari.
4. Wakasisitiza kwamba Kanisa Katoliki na wala wao hawawezi kubariki ndoa za mashoga.
5. Kwa hapa Tanzania kuna maaskofu kadhaa pia wamesema hivyo: Lwaichi, Methodius Kilaini, Nuwemugizi etc.
6. Sasa ni wapi ambapo wamepinga huo waraka? Si leteni nyaraka zao au dondoeni sentensi walizoziandika mkionyesha kwamba wamepinga waraka wa papa labda paragraph ya 1, ya 2 au ya 45 (maana waraka mzima una paragraphs 45).
7. Kusemasema maneno tu bila ushahidi wa kimaandishi ni kueneza uwongo wenu ambao hamuwezi kuuthibitisha. Leteni sentensi au paragraphs kutoka kwenye waraka husika (Declaration) kuonyesha kwamba papa kasema "barikini ndoa za mashoga". Nasubiri uweke hapa.