Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ngoja uje uitwe mvaa qobazi pia mataifa yenye wakristo wengi pia ndio wanaongoza kuhalalisha ndoa za mashoga na wasagajisawa ata kama nchi za kiislam zina mashoga wengi,lakini,taasisi ya kiislam ktk mamlaka yake ya juu,haijatoa TAMKO kwamba mashoga wanastaili kuhudumiwa{mimi ni mkristo msema kweli],lakini sisi wakristo,au wakatoliki,ata kama hamna mashoga,lakini mkuu we2 wa ngazi za juu kabisa PAPA sijui NYANGUMI kasema!!!"makasisi wawabariki MASHOGA"!!!