Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

WANACHO FANYA BBC NEWS WALA SIO KITU KIPYA:

WALIANZA NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA CONDOMS, KUTOA MIMBA,
KUANZISHA AGENDA ZA USAWA WA KIJINSIA, NA ONGEZEKO LA TALAKA.
SASA TUKO KWENYE KUHALALISHA NDOA ZA NDOA ZA JINSIA MOJA.
 
unajitoa ufahamu, subiri uone na huo uislam utakavyochalenjiwa. Tena tayari wameshatu ndoana zao kwenye kinara wa uislam duniani. Usije ukashangaa uislam kuonjeshwa shubiri na kikombe cha sifongo. Uislam ulivyo sleek ndio utavurugwa kirahisi afadhali ya ukristo watapata ugumu kuuharibu
Hakuna kinara wa Uislam duniani. Uislam ni kwa kila mtu. Ukijisalimisha kwa Muumba wako wewe ni Muislam.

Usitafsiri Uislam kwa kutumia ukristo, ni vitu tofauti kabisa.

Wewe unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?
 
Hakuna kama Yehova,

1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc

#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Pole sana mkuu..
 
Hapo umewasingizia bure! BBC wanajitahidi kuripoti taarifa za Uhakika!
Na hawafichi taarifa!
Taarifa ambazo BBC walizitoa juu ya Papa kuruhusu kubarikiwa kwa ndoa za Mashoga ni za kweli, vinginevyo Maaskofu katika nchi mbali mbali hususani Afrika wasingepinga maagzo ya Papa! Sasa wangepingaje kama kauli aliyotoa Papa siyo ya Kweli?
Kuhusu TB Joshua, wameripoti taarifa zake kutoka kwa watu ambao walijua uovu wa TB Joshua!
👍👍
Tatizo kaguswa TBJ. Angekuwa mwanasiasa wengeisifu BBC..
 
BBC ni wanoko sana
Habari zao wanafuata serikali ya UK wanasemaje ndio nao wanafuata hata kama ni haki hawasemi
Rejea Hamas na Israel tu Rishi aliposema tu nao Waka base upande wake
Ila kuna Radio moja hapa inaitwa LBC wanapinga ujinga sana wao wanaongea na kuwaweka kitimoto live viongozi
Mimi naangalia TV news kama Al Jazeera ya kiarabu/English na RT International na bora hata DW
Nilijua BBC kimlengo imekaa ki-liberal zaidi. Yaani inaendana hasa na mitazamo ya Labour Party na kukinzana na misimamo mikali ya Conservatives/Tories. Ndio maana wamekuwa na migongano na serikali Conservatives wakiwa madarakani. Hawatoi blanket support kwa serikali yoyote tu. I stand to be corrected/educated.

Pia nakumbuka wakati wa Blair walikinzana sana na serikali yake kutokana na kuambatana kichawa na GW Bush katika “war on terror” na Iraq.
 
Wewe ni tahira. Brain washed.
Jitahidi kuuzoesha ubongo wako kukubali mabadiliko.
TB Joshu na manabii wengine wahuni tuliwaonya kuwa ni mawakala wa Ibilisi mkabisha. BBC wamefanya uchunguzi wa kibinadsmu bado hamuamini
 
Hiki chombo cha habari si kizuri kwa ukristo, kimekuwa kikusakama ukristo kikijua wakristo hawana munkari wa kuleta fujo kwenye ofisi zao popote duniani. Hebu wajaribu kuchalenji imani ya dini ile yenye jazba watashuhudia maandamano dunia nzima huku ofisi zao zikichomwa moto na waandamanaji wenye uchungu na dini yao kuchalenjiwa.
Pambana na hali mshamba ,usitaje wengine ...
 
Mtoa mada unatakiwa upigwe makonzi upate na viji akili kidogo

Hoja yako namba 4 ni mfu kama walivyo hao BBC

Yaani leo mmeamua kusema BBC inaukaribu na waislam

Pia taja nchi tano za waislam ama zenye waislam wengi zilizopitisha sheria za ushoga rasmi kama kwenu

Europe Union yote kule wakristo wengi na karibu manchi yote huna lakuwaambia kuhusiana na ushoga(halali)

Amerka kusini na kaskazini kote kule wakristo wengi na manchi yao kama sio yote basi 90% ushoga halali kabisa kama nini sijui

Pale mashariki ya kati ambapo ndio kitovu cha Uislam hem tutajie taifa moja tu linaloutambua ushoga kama huko kwenu kwa Gaynations

Mkiambiwa Uislamu ndio njia sahihi ya maisha ya mwanaadam muufate mnakaakaa tu huko nakupoteza muda wenu nakuambatanisha chuki zenu eti BBC hawa hawa wawe jino kwa jino na uislamu na waislam

Mlivyokua muflis na hamna hoja mtakuja kusema papa nae muislam

Mtoa mada huna hoja ila tu nikupe hii kama faida kwasasa ushoga Unapigiea chapuo na mataifa makubwa wanataka iwe ni system kabisa ya mfumo wamaisha kuona mwanao me kaoa me ama kaolewa na me mwenzake uone kawaida sana na kinyume chake

Mtoa mada karibu kwenye Uislam nafasi bado zipo na hazijai ukifa kwenye ukristo (ukafiri) usije ukasema sikukukwambia kua uislam ndio dini ya haki

Hakika dini ya haki mbele ya mwenye enzi Mungu ni Uislam(hakuna sehem kwenye baibo nasikia waloutaja ukristo kama dini kama ipo nioneshe hem)
 
Kitambo sana nilishaachana na kuifuatilia BBC, Habari ziko Al Jazeera,

Pale BBC Kila mtu ni shoga wanaupenda Ushoga balaa
Una uthibitisho upi kwamba kila mtu pale BBC ni shoga?

Au ni hasira zenu tu.

Hata pale Vatican kila mtu ni shoga hasa papa Francis...[emoji1]
 
Kama ni kweli huyo mchungaji aliyafanya na ushuhuda upo basi tusipambane na wao
Kweli BBC wana unafiki mwingi ila wakiamua kutuma watu kuchunguza wanaingia deep zaidi sio zetu za hearsay mpaka waandishi wetu yuko Dar anaandika ya Kigoma halafu anahitimisha kuwa eti Simu za fulani hazipatikani kila tukimpigia (hao ndio waandishi wetu) au zimegonga mwamba [emoji1]
Napenda Pamorama sana kwani huwa wanafuatilia mpaka Mexico
Kama ni Ushoga wamepania kila nyanja kuanzia Habari, mashuleni na kila sehemu
Mpaka Mabungeni wamejaa hawa jamaa
Na Israel ndio wanaongoza kwani kila mwaka wanakutana Tel Aviv Dunia yote
Naeka kituo hapa nikasali kwanza
 
Hakuna kinara wa Uislam duniani. Uislam ni kwa kila mtu. Ukijisalimisha kwa Muumba wako wewe ni Muislam.

Usitafsiri Uislam kwa kutumia ukristo, ni vitu tofauti kabisa.

Wewe unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?
unajua hili wimbi haliwaachi salama hata ninyi? Mmejiandaaje kisaikolojia kukabiliana nalo?
 
Binafsi nilishangaa nikivyoona watu wanashadadia Kikeke awe msemaji wa Serikali ilihali katokea BBC Dira ya Mashoga
 
Mtoa mada unatakiwa upigwe makonzi upate na viji akili kidogo

Hoja yako namba 4 ni mfu kama walivyo hao BBC

Yaani leo mmeamua kusema BBC inaukaribu na waislam

Pia taja nchi tano za waislam ama zenye waislam wengi zilizopitisha sheria za ushoga rasmi kama kwenu

Europe Union yote kule wakristo wengi na karibu manchi yote huna lakuwaambia kuhusiana na ushoga(halali)

Amerka kusini na kaskazini kote kule wakristo wengi na manchi yao kama sio yote basi 90% ushoga halali kabisa kama nini sijui

Pale mashariki ya kati ambapo ndio kitovu cha Uislam hem tutajie taifa moja tu linaloutambua ushoga kama huko kwenu kwa Gaynations

Mkiambiwa Uislamu ndio njia sahihi ya maisha ya mwanaadam muufate mnakaakaa tu huko nakupoteza muda wenu nakuambatanisha chuki zenu eti BBC hawa hawa wawe jino kwa jino na uislamu na waislam

Mlivyokua muflis na hamna hoja mtakuja kusema papa nae muislam

Mtoa mada huna hoja ila tu nikupe hii kama faida kwasasa ushoga Unapigiea chapuo na mataifa makubwa wanataka iwe ni system kabisa ya mfumo wamaisha kuona mwanao me kaoa me ama kaolewa na me mwenzake uone kawaida sana na kinyume chake

Mtoa mada karibu kwenye Uislam nafasi bado zipo na hazijai ukifa kwenye ukristo (ukafiri) usije ukasema sikukukwambia kua uislam ndio dini ya haki

Hakika dini ya haki mbele ya mwenye enzi Mungu ni Uislam(hakuna sehem kwenye baibo nasikia waloutaja ukristo kama dini kama ipo nioneshe hem)
Hahahaha khaaa, Uisilamu,
 
wapuuzi sana! Mnashadidia kana kwamba mna sayari yenu peke yenu, kisanga kinakuja soon na kwenu jiandaeni kisaikolojia
Hakuna mtu anashadadia ni wewe na akili zako ...Angali vita huko jinsi wanavyoleta propaganda.

BBC miaka yote inaenda kinyume na waislamu.
 
BBC wanatoa habari za kweli hizi nguvu unazotumia ungetumia kupambana na Papa aliewaruhusu ushoga wanaume kwa wanaume muowane na muende kanisani mkabarikiwe
Kama Papa angekua amesingiziwa angekanusha hizo habari au kuwashtaki Bbc
Akikujibu unitag

Ngojea aje akwambie kama papa ni muislam
 
Back
Top Bottom