Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Hata mimi naona BBC na ushoga damudamu na kwa sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa Kanisa Katoliki hata kuliko sources of information of Kanisa Katoliki kama vile Vatican News, CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Na hasa wanaweka mlengo wao mbele zaidi kuliko ukweli wa habari husika. Mfano, wachangiaji wengi wanaochangia kuhusu Papa alichosema kuhusu ushoga na ndoa za mashoga wanachukua maoni ya BBC zaidi kuliko Declaration (Fiducia Supplicans). Na pia document imeongelea watu walio katika 'irregular marriage", lakini hawa BBC haijawagusa kabisa kwa sababu mlengo wao ni ushoga (sijui ni kampeni pia?).
Kuna some hidden agenda, let's wait and see....
 
BBC ni wanoko sana
Habari zao wanafuata serikali ya UK wanasemaje ndio nao wanafuata hata kama ni haki hawasemi
Rejea Hamas na Israel tu Rishi aliposema tu nao Waka base upande wake
Ila kuna Radio moja hapa inaitwa LBC wanapinga ujinga sana wao wanaongea na kuwaweka kitimoto live viongozi
Mimi naangalia TV news kama Al Jazeera ya kiarabu/English na RT International na bora hata DW
BBC wahuni Sasa siku hizi
 
Hakuna kama Yehova,


1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc


#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Ungelisusia na kanisa katoliki, maana papa anasema wabarikiwe.


Mkristo wa kweli mwenye imani ya Mwenyezi Mungu mmoja, lazima awe Muislam. Nje ya hapo ni feki tu.
 
Hiki chombo cha habari si kizuri kwa ukristo, kimekuwa kikusakama ukristo kikijua wakristo hawana munkari wa kuleta fujo kwenye ofisi zao popote duniani. Hebu wajaribu kuchalenji imani ya dini ile yenye jazba watashuhudia maandamano dunia nzima huku ofisi zao zikichomwa moto na waandamanaji wenye uchungu na dini yao kuchalenjiwa.
 
Tupigilie msumari hiki ni chombo cha kishetani kinachoendeshwa na mawakala wake duniani
 
BBC wanatoa habari za kweli hizi nguvu unazotumia ungetumia kupambana na Papa aliewaruhusu ushoga wanaume kwa wanaume muowane na muende kanisani mkabarikiwe
Kama Papa angekua amesingiziwa angekanusha hizo habari au kuwashtaki Bbc
mpuuzi wewe, unashadidia bila kujua mwenendo wa ajenda umelenga wapi na utaishia wapi, hata kwenye dini yako wanakuja hamtapona kwenye ushoga na tayari nchi kinara wa dini yenu zimebugizwa ndoana yenye chambo na zimeibugia
 
Usiwadanganye watu kisa umeshikwa Tako. Aljazeera unajua kama ni media ya Qatar ambayo ni uislamu. Utasemaje media kubwa ni mazayuni?
acha ujinga, unajua hiyo media ni kina nani wamewekeza, au kwa vile inawapendelea wapalestina/waislam na iko qatar ndio uamini ni chombo cha kiislam?
 
mpuuzi wewe, unashadidia bila kujua mwenendo wa ajenda umelenga wapi na utaishia wapi, hata kwenye dini yako wanakuja hamtapona kwenye ushoga na tayari nchi kinara wa dini yenu zimebugizwa ndoana yenye chambo na zimeibugia
Unajifanya unaijuia kanisa Catholic kuliko papa? Papa ndo mwenye kanisa lake karuhusu muowane wanaume kwa wanaume alafu mnailaumu Bbc wa kulaumiwa ni papa na ajenda zake za ushoga
 
sawa ata kama nchi za kiislam zina mashoga wengi,lakini,taasisi ya kiislam ktk mamlaka yake ya juu,haijatoa TAMKO kwamba mashoga wanastaili kuhudumiwa{mimi ni mkristo msema kweli],lakini sisi wakristo,au wakatoliki,ata kama hamna mashoga,lakini mkuu we2 wa ngazi za juu kabisa PAPA sijui NYANGUMI kasema!!!"makasisi wawabariki MASHOGA"!!!
hiyo habari ipo kwenye vyombo vya habari vya vatican?
 
BBC ni WA kweli they call a spade spade siyo kama tbc ya kupaka Paka rangi. Ulitaka waseme uongo ili kukufurahisha na T.B Joshua wenu aliyekuwa anatoa Mimba watu ovyo ovyo
Alikuwa akiwatoaje mimba? Yeye ni daktari? Au kwa nguvu ya roho Mtakatifu?
 
Huenda wana mabaya yao lakini nawasifu kwa kulifuatilia na kutusanua kuhusu ukweli wa albino kupotea wakikaribia kufa. Bila BBC kifuatilia na kuweka wazi hienda mpaka leo albino wangeendelea kuawa na sisi tungeendelea kuamini kwamba hua wanapotea
 
Ungelisusia na kanisa katoliki, maana papa anasema wabarikiwe.


Mkristo wa kweli mwenye imani ya Mwenyezi Mungu mmoja, lazima awe Muislam. Nje ya hapo ni feki tu.
unajitoa ufahamu, subiri uone na huo uislam utakavyochalenjiwa. Tena tayari wameshatu ndoana zao kwenye kinara wa uislam duniani. Usije ukashangaa uislam kuonjeshwa shubiri na kikombe cha sifongo. Uislam ulivyo sleek ndio utavurugwa kirahisi afadhali ya ukristo watapata ugumu kuuharibu
 
Unajifanya unaijuia kanisa Catholic kuliko papa? Papa ndo mwenye kanisa lake karuhusu muowane wanaume kwa wanaume alafu mnailaumu Bbc wa kulaumiwa ni papa na ajenda zake za ushoga
peleka ujinga wako kule, nani anamuamini papa?
 
Back
Top Bottom