Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Hii ikitumika kama reference NECTA and we know kua mchoro utakua na marks then it will seriously be a grave mistake, nia yangu ni njema and thanks for your time.
 
Nadhani wamekosea kwenye polarity ya hiyo VEB ni kosa dogo ila na kama mwalimu ukiwa unafundisha unatakiwa kurekebisha.

Kosa lao ni kutokujibu email zako ulizowatumia ili waweze kurekebisha .
NIna imani ukipitia advanced level na ulisoma masomi ya science hasa pcm , ukiangalia vitabu kama chand class x1 na X11 utakutana na errors nyingi tu ila tofauti yao wanapotumiwa jumbe huwa wanazifanyia kazi na toleo litakalokuja basi huwa lina marekebisho.

Kazi nzuri mkuu usichoke kuwatafuta zaidi
 
Hii ikitumika kama reference NECTA and we know kua mchoro utakua na marks then it will seriously be a grave mistake, nia yangu ni njema and thanks for your time.
Na nafikiri kama Haiko corrected itatumika, utakuta na mwalimu wa phy naye asiyekuwa makini au mwenye Mawazo na stress atamzingua mwanafunzi aliyesoma kwenye baadhi ya Refference zingine nafikir kama hili ulilotuma ni la kweli we need kupaza sauti na

ikiwezekana Ningependezwa na Jamiiforum kuuweka huu uzi kwenye Dokezo kwa sababu ni muhimu sana

Uzi huu ulipaswa kuwa DOKEZO Ili uwafikie wahusika...
Cc:-
JamiiForums Active Moderator
 
Thanks a lot sir.
 
Your grasp of the Queen's language is lacking especially with respect to writing ,take the criticism from a positive perspective
 
Ni sahihi, itapendeza likiwekwa kama dokezo sababu si form four tu hata form one pia.
 
Your grasp of the Queen's language is lacking especially with respect to writing ,take the criticism from a positive perspective
No offense taken

It might be true, but I've been a spelling bee kid , not only do I like Grammar but also I'm competent when it comes to it.

have you ever wondered what will happen when one is writing in state of torpidity, or have been flummoxed with witless people, well it shouldn't be hard for you to fathom it's exactly what happened.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…