Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Ooh now nimefatilia mchoro kwa makini sana Vizuri kuna kitu nimekiona ..

Na nimegundua vitu vifuatavyo..
Unachosema ni kweli kabisa na nimekiona pia baada ya kufatilia na nahisi kuna vitu nimegundua .
The terminal EB is -+ respectivly and thats wrong...

The termina CB Is negtive direction and hands up mkuu umefatilia kwa umakini sana unadeserve kuwa Mhariri mkuu hapo maana mimi..
nimeoverlook mchoro kwa Haraka haraka bila kuchunguza kila sehemu 👏👏🎉🎉🎉🎉
  • The one who do the Designs and explanation walikuwa sahihi but waliochapa nahisi ni layman hawajui ch9chote kuhusu physics thats Why Wametengeneza Grave mistakes
  • Mkuu hili ni tatizo kubwa sana na nafikiri Kuna haja ya kukagua vitabu vya watoto wetu na kuchunguza wanafundishwa nini hii ya leo imenifanya mwanangu akirudi likizo lazima nikague vifaa vyake vyote
Hii ikitumika kama reference NECTA and we know kua mchoro utakua na marks then it will seriously be a grave mistake, nia yangu ni njema and thanks for your time.
 
Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice. Hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE? Ni pendekezo langu hilo kosa liweze kurekebishwa.

Asante.

View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Nadhani wamekosea kwenye polarity ya hiyo VEB ni kosa dogo ila na kama mwalimu ukiwa unafundisha unatakiwa kurekebisha.

Kosa lao ni kutokujibu email zako ulizowatumia ili waweze kurekebisha .
NIna imani ukipitia advanced level na ulisoma masomi ya science hasa pcm , ukiangalia vitabu kama chand class x1 na X11 utakutana na errors nyingi tu ila tofauti yao wanapotumiwa jumbe huwa wanazifanyia kazi na toleo litakalokuja basi huwa lina marekebisho.

Kazi nzuri mkuu usichoke kuwatafuta zaidi
 
Hii ikitumika kama reference NECTA and we know kua mchoro utakua na marks then it will seriously be a grave mistake, nia yangu ni njema and thanks for your time.
Na nafikiri kama Haiko corrected itatumika, utakuta na mwalimu wa phy naye asiyekuwa makini au mwenye Mawazo na stress atamzingua mwanafunzi aliyesoma kwenye baadhi ya Refference zingine nafikir kama hili ulilotuma ni la kweli we need kupaza sauti na

ikiwezekana Ningependezwa na Jamiiforum kuuweka huu uzi kwenye Dokezo kwa sababu ni muhimu sana

Uzi huu ulipaswa kuwa DOKEZO Ili uwafikie wahusika...
Cc:-
JamiiForums Active Moderator
 
Nadhani wamekosea kwenye polarity ya hiyo VEB ni kosa dogo ila na kama mwalimu ukiwa unafundisha unatakiwa kurekebisha.

Kosa lao ni kutokujibu email zako ulizowatumia ili waweze kurekebisha .
NIna imani ukipitia advanced level na ulisoma masomi ya science hasa pcm , ukiangalia vitabu kama chand class x1 na X11 utakutana na errors nyingi tu ila tofauti yao wanapotumiwa jumbe huwa wanazifanyia kazi na toleo litakalokuja basi huwa lina marekebisho.

Kazi nzuri mkuu usichoke kuwatafuta zaidi
Thanks a lot sir.
 
There is always negative people abstaining every positive outcome, it doesn't surprise me.
Well We can't all be engineers and that's final. And one more thing you didn't even ask my achievement your assertion just assumed that I can't repair active or passive components of electronic devices, and that tells a lot about you.
Your grasp of the Queen's language is lacking especially with respect to writing ,take the criticism from a positive perspective
 
Na nafikiri kama Haiko corrected itatumika, utakuta na mwalimu wa phy naye asiyekuwa makini au mwenye Mawazo na stress atamzingua mwanafunzi aliyesoma kwenye baadhi ya Refference zingine nafikir kama hili ulilotuma ni la kweli we need kupaza sauti na

ikiwezekana Ningependezwa na Jamiiforum kuuweka huu uzi kwenye Dokezo kwa sababu ni muhimu sana

Uzi huu ulipaswa kuwa DOKEZO Ili uwafikie wahusika...
Cc:-
JamiiForums Active Moderator
Ni sahihi, itapendeza likiwekwa kama dokezo sababu si form four tu hata form one pia.
 
Your grasp of the Queen's language is lacking especially with respect to writing ,take the criticism from a positive perspective
No offense taken

It might be true, but I've been a spelling bee kid , not only do I like Grammar but also I'm competent when it comes to it.

have you ever wondered what will happen when one is writing in state of torpidity, or have been flummoxed with witless people, well it shouldn't be hard for you to fathom it's exactly what happened.
 
Back
Top Bottom