Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Mimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y, nimeweza notice some very serious error katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kua kids are learning the mistakes ya editors and not all teachers can notice hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE, ni pendekezo langu hiyo error iweze kurekebishwa. Asante

View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward Biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Nimefanyakazi ya kuchora vitabu vya kiada vya TIE.

Niligundua hakuna majitu bogus na imbeciles kama hao jamaa.

Serikali imejimilikisha uchapaji wa vitabu vya elimu na kuua sekta ya uchapishaji binafsi nchini. Haya ndo maubunifu ya serikali
 
Thanks for noticing amigo.🙏
 
Ivi wewe pia ni expert wa physics? Je uliisoma physics electronics ukaielewa? Ulichokifanya hapo mpaka nimeogopa, hakika mwili umetetema hicho ndicho unawafundisha watoto?
😸 Usiteteme dogo jaribu kutafuta wa karibu yako mfanye discussion kidogo.
NB usitangulize ufahamu wako katika discussion hiyo tunao wengi sana walimu kama nyie msiokubali kubadilishwa
 
Aisee
Utakoma mwenyewe
Humu unabishana na bodaboda, wauza mifuko, majobless, yaani ni full vurugu na undondo...
waache tu, hata wakirekebisha, wataambiwa wajiajiri, ndio maana wanakutolea povu....
Baada ya huyo jamaa kunitumia hii picha
Screenshot_20231018-015827.jpg

Na anaona yupo sahihi hakika ukisemacho ni kweli.
I'm just wasting my time here.
 
Nimefanyakazi ya kuchora vitabu vya kiada vya TIE.

Niligundua hakuna majitu bogus na imbeciles kama hao jamaa.

Serikali imejimilikisha uchapaji wa vitabu vya elimu na kuua sekta ya uchapishaji binafsi nchini. Haya ndo maubunifu ya serikali
Wewe kwa knowled
Baada ya huyo jamaa kunitumia hii picha View attachment 2784971

I'm just wasting my time h

Swali
Alichokiweka ni kweli au uongo?

Hakuaswa kukosoa?
Ni uongo ,, kukosoa anaruhusiwa ila kakosoa sehemu sahihi akubali kuwa hajatuliza ubongo
 
😸 Usiteteme dogo jaribu kutafuta wa karibu yako mfanye discussion kidogo.
NB usitangulize ufahamu wako katika discussion hiyo tunao wengi sana walimu kama nyie msiokubali kubadilishwa
Ivi wewe unataka kuniambia kua emitter current ina flow kwenye collector according to your diagram inaonesha ume indicate C sehemu ya emitter na E sehemu ya collector you are wrong shame on you.
Screenshot_20231018-015827.jpg
 
Baada ya huyo jamaa kunitumia hii picha View attachment 2784971

Na anaona yupo sahihi hakika ukisemacho ni kweli.
I'm just wasting my time here.

Ivi wewe unataka kuniambia kua emitter current ina flow kwenye collector according to your diagram inaonesha ume indicate C sehemu ya emitter na E sehemu ya collector you are w

Ivi wewe unataka kuniambia kua emitter current ina flow kwenye collector according to your diagram inaonesha ume indicate C sehemu ya emitter na E sehemu ya collector you are wrong shame on you

Ivi wewe unataka kuniambia kua emitter current ina flow kwenye collector according to your diagram inaonesha ume indicate C sehemu ya emitter na E sehemu ya collector you are wrong shame on you.
View attachment 2784975
Asante meshame on me ,, naomba tufanye mjadala kesho huu uzi tuuache ila "labelling ndo nime misplace" kwenye mchoro huo lkn ukweli hauwez kubadilika
 
Wewe kwa knowled

Ni uongo ,, kukosoa anaruhusiwa ila kakosoa sehemu sahihi akubali kuwa hajatuliza ubongo
Let me take you back to class,

For p-type to be forward Biased it must be connected to positive terminal and for it to be reverse biased it must be connected to negative terminal, if what said holds true now take a grimpse of the diagram, both terminal are reverse biased Emitter base and collector base are both reverse Biased ( both connected to negative terminal) so what's your point? Are you trying to prove something Wich is completely wrong to be true?
 
Ivi wewe pia ni expert wa physics? Je uliisoma physics electronics ukaielewa? Ulichokifanya hapo mpaka nimeogopa, hakika mwili umetetema hicho ndicho unawafundisha watoto?

Let me take you back to class,

For p-type to be forward Biased it must be connected to positive terminal and for it to be reverse biased it must be connected to negative terminal, if what said holds true now take a grimpse of the diagram, both terminal are reverse biased Emitter base and collector base are both reverse Biased ( both connected to negative terminal) so what's your point? Are you trying to prove something Wich is completely wrong to be true?
Dogo nakiri kosa kweli kipengere icho pamekosewa of course ,,
 
Okay but sometimes it's okay to admit when something is wrong So that it can be rewritten that's all , they got it wrong they should rewritte it.

🙏 You are a true physicist, It was just that part
I'm sorry too for my tough language stay blessed.
🤝Kusema ukweli mm nafundisha advance kwo sjakikagua zaidi iki kitabu nakushukuru kwa kugundua kosa nadhani wanalifanyia kazi soon ilo tatizo litakuwa solved
Let us work together thanks so much
 
Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice. Hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE? Ni pendekezo langu hilo kosa liweze kurekebishwa.
Subiri timu ya waandishi ikushambulie pamoja na nia yako njema
 
Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice. Hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE? Ni pendekezo langu hilo kosa liweze kurekebishwa.

Asante.

View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Daaa jamaa upo serious kabisaaa!
 
Nimefanyakazi ya kuchora vitabu vya kiada vya TIE.

Niligundua hakuna majitu bogus na imbeciles kama hao jamaa.

Serikali imejimilikisha uchapaji wa vitabu vya elimu na kuua sekta ya uchapishaji binafsi nchini. Haya ndo maubunifu ya serikali
Mkuu kwanza una chuki na ni mpinga maendeleo.. Hakuna mapinduzi TIE imefanya Kama hili la vitabu..

Mapungufu yapo ya kibinadamu na ni machache yanarekebishika, Kama mtoa madam alivyokuja na utambuzi wake.
Though mi sijui kitu kwenye Physics... Wajuvi waje waseme kitu ..
 
Back
Top Bottom