Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

Mkuu kwanza una chuki na ni mpinga maendeleo.. Hakuna mapinduzi TIE imefanya Kama hili la vitabu..

Mapungufu yapo ya kibinadamu na ni machache yanarekebishika, Kama mtoa madam alivyokuja na utambuzi wake.
Though mi sijui kitu kwenye Physics... Wajuvi waje waseme kitu ..
Salutation ya post yako imejustfy maumivu makali sana kukosolewa. Na wakosoaji tunapewa majina ya wenye chuki na wapinga maendeleo.

Aya ya pili unakubaliana na ubogus wa TIE. Yaani kiufupi wewe ni rangi mbili, a snitch au mnafiki.

Mtoa hoja mrPhysics ameelezea makosa ya makusudi ambayo wewe unayaita ya kibinadamu kwenye eneo la taaluma yake. Makosa hayo yanaligharimu Taifa kwani hata waalimu wanaotoa refference kama hawajajiandaa vyema wanashiriki kupotosha.

Wahariri na proof readers wa TIE walikula kideri wakati wanapitia manuscript na camera ready za kitabu hiki? Makosa ni mengi hata kwenye vitabu vingine.

Hakuna mapinduzi yaliyoletwa TIE bali ni ubabe wa serikali to monopoly sekta ya text books na kuua indeginous publisher jambo linasaidia sana kuua ari ya usomaji. Inatia uchungu sana regulator anapoingia uwanjani kufanya biashara anayoisimamia. Kama yapo yaorodheshe

TIE ibaki kwenye kukuza mitaala na to aunthenticate (kutoa ITHIBATI) huku ikidhibiti ubora wa vitabu vya kiada. Sasa makosa haya makubwa yanayofanyika kwenye vitabu, ni nani anamdhibiti mchapaji?

Mkuu, umeprove nanmna ulivyo mbatata kama TIE.
 
Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
wacheni kumnanga mwenzenu yeye ameleta hoja nzito nyinyi mumebaki munamkosoa kwa kuchanganya kiswahili na kiingereza. Kwani wangapi humu wanafanya hivyo?

Au wewe ni katika wamiliki wa kitabu kilichokosolewa?

Makosa kwenye kitabu siyo vizuri maana siyo wote wanaweza kugundua.
 
Huyo dereva wa bodaboda anabishanya na mwenye fani yake
 
Siku hizi dv one za 3 gunia, kuna dogo amepata one ya 3,nikasema nimetest phys kidogo nina miaka 8 ya physics , lakini nagusaga gusaga nikiwa na Mda,
Dogo ni mchache kinoma mpaka unajiuliza iyo A kaipatia wapi?
 
Una uhakika alisema physics au civics ......😁😁😁
 
Siku hizi vitabu kama Abbott (Ordinary Level Physics) havitumiki tena?
 
Kwenye uchapaji wa vitabu, kuna makosa yanaweza kutokea kwa namna mbili:

1. Kosa la mtunzi au mwandishi.
2. Yule anayetype hicho kitabu kubadilisha kwa bahati mbaya.

Makosa haya yanatokea sana wasipotumia kanuni za mitihani. Baada ya kitabu kukamilika, inatoka nakala moja inapitiwa content yote pamoja na diagram. Sasa, kama TIE hawana uo utaratibu, basi makosa hayakosekani, na TIE mwandishi anakuwa zaidi ya mmoja wakishaandika na kuvuta mtonyo wanasepa. Sijui kama wanaitwa tena kupitia kitabu kwa mswada ule walioandika awali, kama kuna error zozote.

Lakini kuna changamoto ya waandishi waliohusika kuzoea ile kazi, hivyo kutoona makosa. Hivyo, inabidi mtaalamu mwingine tofauti na wale waandishi apitie. Yeye ndiye atakayebaini makosa. Mawazo yangu kwa uzoefu wangu.
 
Physics sio kitu cha kuchezea, mtoto akishamezeshwa hivyo italeta taabu baadae.
TIE tafadhali rekebisheni hilo tatizo na pia muwe na tabia ya kujibu mails.
 
There is always negative people abstaining every positive outcome, it doesn't surprise me.
Well We can't all be engineers and that's final. And one more thing you didn't even ask my achievement your assertion just assumed that I can't repair active or passive components of electronic devices, and that tells a lot about you.
Unatuacha bwana
 
Physics sio kitu cha kuchezea, mtoto akishamezeshwa hivyo italeta taabu baadae.
TIE tafadhali rekebisheni hilo tatizo na pia muwe na tabia ya kujibu mails.
Wakati huo tupo theoretically unampandikiza mtoto diagram ambayo haiendani na uhalisia ,
Diagram na contents haviendani,
Imagine huyo ndio anayekuja kusoma electrical au electronics au ndio biomedical,
Halafu unataka umeme uwe wa uhakika,seriously wakati ametoka na loop nying sana akilini,
Afu kuna lijitu linatetea ujinga,
Eti tuone kama jambo la kawaida
 
There is always negative people abstaining every positive outcome, it doesn't surprise me.
Well We can't all be engineers and that's final. And one more thing you didn't even ask my achievement your assertion just assumed that I can't repair active or passive components of electronic devices, and that tells a lot about you.
Yanini kuongea lugha broken namna hiyo, si bora utumie kiswahili tu. Kuambiwa uanzishe electronics workshop ndio nimemaanisha huwezi kwani? Vumbuzi kubwa duniani zimefanywa na academic scholars kwenye maabara za vyuoni mwao, kupractise unachofundisha sio kuwa engineer..., inaonekana hata hujui hizo PN junction hutumika wapi kwa namna gani...

Waliotunga hivyo vitabu ni kopo la walimuona...waliitwa wakatunga....
 
Vidogo vya Siku hizi mna dharau,
Dah haya ngoja nikuache .......wewe ndo ulisoma
Hujanielewa kiongozi.....au umetafsiri vibaya.

Huwa siwezi dharau mtu kamwe hata anifanyie nini. pamoja na kwamba Naamn hujanielewa vizuri ila kumb radhi kiongozi Kwa comment yangu....
 
Back
Top Bottom