Nenda maduka ya max kanunue cardet brand ya max utakuja kunishukuruNilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajet yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.
Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.
nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.
Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
Haswa umenenaOngeza idadi ya nguo.
Nikadhani nimesoma vibaya hilo jina lake 🤣Mwamba umekuja na thread nyingine tena duh
Cadet zitakuwa zimemchanganya sana mwamba duh 😄Nikadhani nimesoma vibaya hilo jina lake 🤣
Itakuwa hizo cadet zimemtenda vibaya
Mpe na bei kabisaNenda maduka ya max kanunue cardet brand ya max utakyja kunishukuru
Isije ikawa nguo za vunja bei hizoMwamba umekuja na thread nyingine tena duh
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.
Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.
nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.
Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
MhhhhKuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.
Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.
nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.
Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
Midosho ni midosho tuu , hata ufanye nn , zitachuja rangi na zitapauka, nguo kali haina mashart kama ya mgangaCadet na Jeans zina kanuni zake za utunzaji!
Wewe bila shaka ulizianika kwenye jua, ulizifua kwa kutumia sabuni ya unga, unatakiwa uzipige pasi nje ndani(naamini hukufanya hivyo), ulitumia maji ya chumvi kuzifua, ulizikamua na kuzikung'uta!
Zitatamanikaje sasa...!?
Wewe nguo za akina Mr kadeti sjui vunjabei , unasema kuna nguo hapo au ni kusitirika tuu uonekane haupo uchiJamaa kaongea ila kweli nguo nyingi zilizopo madukani tens zingine zinauzwa bei ghari hazina Ubora huyu Mwamba nguo anazijua ukiwa na nguo chache kama ni bora hazitafubaha haraka wala kupoteza ile rangi yake halisi..unakuta Kadeti ikipigwa na jua huku umeivaa inapauka kwenye magoti kuja juu ila zipo Pamba ukibahatika kuyajua maduka yao bei kawaida na zipo sawa hasa nguo zinazotoka Thailand,Vietnam na India..Waturuki pia wanazo ila kwa kiwango kidogo kinachokuja Tanzania na wafanyabiashara wakileta zinakuwa ghari kidogo...