Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

we jamaa nimecheka sana hapo inapo mwaga kama bahama
 
Chambuu ni nguo za miaka ya late 90 to ealry 2000, siku hizi limebaki jina tu kariakoo kuhadaa watu , hazipo tena !! ni kweli zilikuwa nguo bomba sana ,maana neno chambuu lilitokana na" chambua" wafanyabiashara walikuwa wanachambua nguo zenye dosari kidogo kutoka kwenye nguo first class destined to first world .ni zile nguo ambazo zinapelekwa Us halafu zikanonekana zina kasoro kidogo huwa zinarudishwa kama reject huko china na thailand , ukichambua unapata nguo nzuri tu mpya kabisa na quality fabrics

Niliwahi kusikia tetesi kuwa ile biashara ya nguo za chambuu ilihusishwa sana na madawa .
 
Inategemeana unafanya kazi gani, binafsi nafanya casual work , hakuna namna naweza kurudia suruali niliyoivaa kwa silu moja
 
Bree street!!! Umenikumbusha mbali sana mzeee mitaa yangu hiyo enzi nikiwa barobaro
Kukaa kwangu corner Claim & bree!!
 
Nunua Cardet za Tommy Hilfiger , usifue kwa Sabuni ya Unga, Tumia Kipande, kama unatumia Machine tumia shampoo ya kuogea kama sabuni. Simple
Tommy Hillfiger ni racist na alishawahi kutamka kuwa products zake si kwa watu weusi (blacks ) jewish or asian weusi wavae tu kama zinawatosha ila si lengo lake kumvesha black!!! .
Next time ukiona product za Tommy ujue tu ni fake ,au mtumba .
 
Bree street!!! Umenikumbusha mbali sana mzeee mitaa yangu hiyo enzi nikiwa barobaro
Kukaa kwangu corner Claim & bree!!
Hata leo nimepita hapo nimekutana na bidhaa nzuri mno kwa Wa Ethiopia hapo pana Jean kali sana na Simple za kike na Kiume balaa ngoja nitume baadhi maana jamaa katuweka kwenye group akiwa na bidhaa kali anatupia..hivi viatu kabla sijatoka nabeba hapa bei nzuri tuu
 

Attachments

  • 20230424_154903.jpg
    1 MB · Views: 24
  • 20230424_155153.jpg
    866.5 KB · Views: 22
  • 20230424_142235.jpg
    1.4 MB · Views: 24
  • 20230424_155106.jpg
    690.5 KB · Views: 22
Ni Tz hapa au ?
 
Hauna pesa na unanunua suruali elf 28 moja?

Hapa chugastan jeans Kali Ni buku 7 tu mnadani , 20k unaotea jeans tatu nenda kapunguze ziwe size yako unasahau

Suruali og kitambaa kizito niseme kadet si kadet , Bei Ni kwanzia 2k hii imepunguza ovyo na mafundi japo inaweza kukukaa kwa kurekebishika kidogo, nunua ambayo Ina overlocks kwanzia 5k unapata nenda kapunguze utanishukuru

Binafsi ndo suruali zangu huwa si spend Sana kwenye suruali ..hizo za shola siwezi vaa Ni midosho imezagaa Sana tofauti na kuzama mtumbani na kuvuta nzuri OG , siwezi vaa suruali zozote za dukani hii nchi Ni midosho kwanzia jeans, kadet,
 
Mkuu n
Mkuu ghari ndio kiswahili cha wapi ? Kwa ulivyoandika hii comment yako na hii ghari unaonekana kabisa ulikua backbencher mzee wakati wenzio wanajifunza kutofautisha herufi wewe ulikua unatoa makamasi puani huku ukiyalamba
 
Mkuu n

Mkuu ghari ndio kiswahili cha wapi ? Kwa ulivyoandika hii comment yako na hii ghari unaonekana kabisa ulikua backbencher mzee wakati wenzio wanajifunza kutofautisha herufi wewe ulikua unatoa makamasi puani huku ukiyalamba
Mkuu nashukuru sana maisha ya kujisifia Elimu ni kwa wale waliobahatisha kupata Elimu ila kwa wale wenye uhakika na hiyo toka vizazi vyao huwezi kusikia wakiona wakipiga kelele ...mnabaki kujisifia Elimu huku maisha yakiwapiga ukimaliza shule ongelea mipango sio muda wote mambo ya darasani wakati sio vitu vya kuferi...
 

[emoji23][emoji23]dah kmamake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…