Je nisome master's degree ya ualimu au isiyo ya ualimu

Big up angalau ww tunawez Kukaa meza moja na kujadili. Sasa huyo jamaa analinganisha walimu wa vyuo na walimu wa sekondari yaani ni km mbingu na ardhi. Shule ya msingi na sekondari wanajitafuta sana. Mazingira mabovu ya ufanyaji kazi yani ni vurugu mechi
 
Pole sana mkuu. Tena pole sana kwani kuna vingi huvijui ila unashupaza shingo tu
 
Kwahio hao walimu wa vyuo vya ualimu wanaoanza E na wna Bachelor degrees wanawazidi nini Cha maana wenye bachelor wenzao was secondary zaidi ya daraja la kuanzia mshahara!!?

Kwahio unahitaji master's ili ufundishe diploma ya ualim au certificates!!?

So sad
 
Wanawazidi vingi sana japokuwa wote wana degree. Fanya utafiti kwanza ndio urudi upya bila hivyo utaendelea kushupaza shingo sana
 
Nin
Nina jamaa yangu nilimaliza nae udsm yupo monduli pale anafundisha na bachelor yake....
 
Wanawazidi vingi sana japokuwa wote wana degree. Fanya utafiti kwanza ndio urudi upya bila hivyo utaendelea kushupaza shingo sana
Sasa Hilo ni tatizo la mfumo sio kukosa masters!!!

Hasta mwalimu was sec akipata mchongo anaingia TU huko bila kuwa na masters!

Kama ni ushauri Bas apambane aingie kwenye system kwnza sio apigewe Hela kwanza wakati hayupo kwenye system!!!
 
Sasa Hilo ni tatizo la mfumo sio kukosa masters!!!

Hasta mwalimu was sec akipata mchongo anaingia TU huko bila kuwa na masters!

Kama ni ushauri Bas apambane aingie kwenye system kwnza sio apigewe Hela kwanza wakati hayupo kwenye system!!!
Mkuu soma mpaka PhD lakini km huna connection wewe ni km form one tu. Kuna watu kibao napiga nao kazi Wana masters lakini wapo wapo tu wanatia huruma....


Tafatu kwanza connection ndo ukasome maana kinacho matter ni connection sio elimu. Km unaenda kusoma kasome tu for your risk... Kwani miaka kumi iliyopita degree si ilikua na maana lakini sasa hamna kitu, huwezi ukamshauri mtu hata sasa akasome degree ili apate mchongo maana mchongo ni connection tu.... HV hajaona dereva bodaboda ana masters halafu mbunge ni standard seven
 
Kila mtu na njia yake, jamaa akiwasikiliza nyie wa mawazo mfu anaweza kukata tamaa. Wapo wengi waliofanikiwa kupanda ngazi kwa kuongeza Elimu huko huko na shuhuda ni nyingi mno.
 
Kasome Master ya Business administration utanishukuru baadae......... inakupa nafasi ya kupata uongozi kwenye taasisi hata ikibidi nje ya ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…