Big up angalau ww tunawez Kukaa meza moja na kujadili. Sasa huyo jamaa analinganisha walimu wa vyuo na walimu wa sekondari yaani ni km mbingu na ardhi. Shule ya msingi na sekondari wanajitafuta sana. Mazingira mabovu ya ufanyaji kazi yani ni vurugu mechiWe lofa usiyeelewa chochote mwl wa chuo cha kati ndio yupi. Hiyo scale ni ya watu gani. Km haujui jambo si ukae kimya kuliko kupotosha? Vyuo vya elimu ya juu vyote mishahara yao inalingana(equivalent). Mshahara wa Tutorial Assistant(TA) ni zaidi ya 1.5M na wa Assistant Lecturer ni zaidi ya 2.5M, hiyo ni mishahara ya kuanzia. Maprofesa wao wapo wanaolipwa mpaka zaidi ya 8M. Halafu vyuoni kuna fursa nyingi we bwana mdogo