Je nisome master's degree ya ualimu au isiyo ya ualimu

Je nisome master's degree ya ualimu au isiyo ya ualimu

We lofa usiyeelewa chochote mwl wa chuo cha kati ndio yupi. Hiyo scale ni ya watu gani. Km haujui jambo si ukae kimya kuliko kupotosha? Vyuo vya elimu ya juu vyote mishahara yao inalingana(equivalent). Mshahara wa Tutorial Assistant(TA) ni zaidi ya 1.5M na wa Assistant Lecturer ni zaidi ya 2.5M, hiyo ni mishahara ya kuanzia. Maprofesa wao wapo wanaolipwa mpaka zaidi ya 8M. Halafu vyuoni kuna fursa nyingi we bwana mdogo
Big up angalau ww tunawez Kukaa meza moja na kujadili. Sasa huyo jamaa analinganisha walimu wa vyuo na walimu wa sekondari yaani ni km mbingu na ardhi. Shule ya msingi na sekondari wanajitafuta sana. Mazingira mabovu ya ufanyaji kazi yani ni vurugu mechi
 
Kwa hio kama chuo panaridhisha bas wasingekimbilia siasa mkuu!!

Mambo ni Yale Yale hakuna jipya kilio ni kwa wote!!!

Utumwa wa kifikra wa soma ilinupate ajira ya juu zaidi unakumaliza mkuu!!

Utumwa wa madesa badala ya kuwaza uhuru was kiuchumi unawaza uongeze elim Ili update ajira kubwa zaidi!!?

Sijaiona tofauti kabisa ya education carreers zaidi ya wale ma lecture was chuo sidhani!!

Kama lengo ni kupata ajira ya chuo anaweza ipata Kwa hio hio degree!Wala hakuna maajabu hapo!!

Halafu ishu ya madeni sio walim was sec TU ni wafanyakazi wote Hadi serikali inadaiwa hasta wewe unadaiwa na Benji labda kama huna malengo makubwa!!

Kama lengo lake ni pesa na uchumi akomae na degree yake TU kuliko kumjaza ujinga eti akipata masters atapata kazi itakayomasidia kukuza uchumi wake!!

Education industry Haina Hela labda abadili fani asome kitu kingine kuliko kuwa mtumwa wa kusoma ili update mshahara mzuri!!

Kwanza Hana ajira halafu aongeze elimu nyingine wakati aliyonayo hajapata ajira ya maana !!

Nakuona Bado una mental slavery wakati elimu ya Bongo hailipi Kwa sasa ndio maana na mitaala wanabadili!!

Masters tunazo kibao huku kitaa lakini masters sio Hela ni status tu ambayo hailipi ukiwa nje ya system!!!

Wanaosoma masters in wale ambao tayari wanapigania vyeonvyao in case vipo kwenye threat lakini anataka asome masters wkati bado hata kwenye system hajaingia!hiyo Hela ya masters Bora afanyie kitu kingine kabisa!!!

SIMSHAURI UJINGA ETI ASOME MASTERS ILI AJE AFUNDISHE CHUO WAKATI HATA DEGREE YAKE INATOSHA KUFUNDISHA CHUO!!

MENTAL SLAVERY INAWATESA WASOMI WA BONGO KAMA WEWE!!!
Pole sana mkuu. Tena pole sana kwani kuna vingi huvijui ila unashupaza shingo tu
 
Big up angalau ww tunawez Kukaa meza moja na kujadili. Sasa huyo jamaa analinganisha walimu wa vyuo na walimu wa sekondari yaani ni km mbingu na ardhi. Shule ya msingi na sekondari wanajitafuta sana. Mazingira mabovu ya ufanyaji kazi yani ni vurugu mechi
Kwahio hao walimu wa vyuo vya ualimu wanaoanza E na wna Bachelor degrees wanawazidi nini Cha maana wenye bachelor wenzao was secondary zaidi ya daraja la kuanzia mshahara!!?

Kwahio unahitaji master's ili ufundishe diploma ya ualim au certificates!!?

So sad
 
Wanawazidi vingi sana japokuwa wote wana degree. Fanya utafiti kwanza ndio urudi upya bila hivyo utaendelea kushupaza shingo sana
 
Nin
Chuo chankati SI hivyo vya certificates na diploma!!?hapo wewe unazungumzia versity !

Vyuo kama Butimba,Bustani,ndala ni vyuo vya visivyotoa degrees!

Mbona hivyo vyuo wanafundisha wenye degree's tu!!?

Au unafikiri vinafanana na udsm,sua,mzumbe!!?

Wakufunzi was vyuo hivi wanaanza na E,sio D na jamaa yangu anafundisha pale ndala mbona alianza na hiyo na bachelor yake!!?
Nina jamaa yangu nilimaliza nae udsm yupo monduli pale anafundisha na bachelor yake....
 
Wanawazidi vingi sana japokuwa wote wana degree. Fanya utafiti kwanza ndio urudi upya bila hivyo utaendelea kushupaza shingo sana
Sasa Hilo ni tatizo la mfumo sio kukosa masters!!!

Hasta mwalimu was sec akipata mchongo anaingia TU huko bila kuwa na masters!

Kama ni ushauri Bas apambane aingie kwenye system kwnza sio apigewe Hela kwanza wakati hayupo kwenye system!!!
 
Mkuu soma mpaka PhD lakini km huna connection wewe ni km form one tu. Kuna watu kibao napiga nao kazi Wana masters lakini wapo wapo tu wanatia huruma....

Tafatu kwanza connection ndo ukasome maana kinacho matter ni connection sio elimu. Km unaenda kusoma kasome tu for your risk... Kwani miaka kumi iliyopita degree si ilikua na maana lakini sasa hamna kitu, huwezi ukamshauri mtu hata sasa akasome degree ili apate mchongo maana mchongo ni connection tu.... HV hajaona dereva bodaboda ana masters halafu mbunge ni standard seven
 
Kila mtu na njia yake, jamaa akiwasikiliza nyie wa mawazo mfu anaweza kukata tamaa. Wapo wengi waliofanikiwa kupanda ngazi kwa kuongeza Elimu huko huko na shuhuda ni nyingi mno.
 
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
Kasome Master ya Business administration utanishukuru baadae......... inakupa nafasi ya kupata uongozi kwenye taasisi hata ikibidi nje ya ualimu.
 
Back
Top Bottom