cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
utakuwa una kitambulisho cha taifa sio mimbaMwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Kama ume-breed na sio ku-bleed huwezi kupata mimba aiseeMwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Kaliwa bili kinga, mawazo lazimaPunguza mawazo Binti mambo ya kawaida haya
Wiki?!! Inapoteleaga wapi?Ngoja kwanza Breed???
Umechelewa siku 1 tu tayari mawazo 700? Tulia baby Girl, Hedhi inachelewa hata wiki kutokana na sababu mbali mbali jipe muda
Hapo mkuu, mzigo umenasa jiandaeni kulea
Binti sayuniiiii ... Kuna mwamba amekuandikia uzii wa kububujikwa kwa pendo lake kwakoHapo mkuu, mzigo umenasa jiandaeni kulea
98% mimba ipo, hiyo tarehe 22 yai lilikuwa tayari kwa kurutubishwa, nenda hospital kapime....uje na mrejeshoMwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?