Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Mwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Breed ndio nini
 
Wakati unafanya hukuwa unajua hii inaweza kuwa moja ya matokeo?

Vipi kuhusu magonjwa ya zinaa na UKIMWI? Au wewe unaogopa mimba tu?
 
Neno "hedhi" linasomeka vizuri kabisa, hili la "breed" hata halisomeki vizuri. Niliwahi kumpa somo kipindi fulani aliyekuwa gf, sikuwa napenda kusikia akisema "breed", ila aligoma kuingia darasani.

Ukingonoka bila kinga, nyakati za hatari..hakuna namna zaidi ya kujiandaa kuwa mzazi.
 
Back
Top Bottom