Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Hongera sana unafuraha nayo! Dunia imejaa majambazi, wezi sugu, wenye upendo uliopoa kwasababu ya wamama kuchukia mimba na kujisemea moyoni ni ya bahati mbaya!
 
Mwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?

Breed ndio nini?
 
Kumbe ndo najua leo

Mhubiri 4:9-11

[9]Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja;
Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.

.

[10]Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!

[11]Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?
 
Mhubiri 4:9-11

[9]Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja;
Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.

.

[10]Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!

[11]Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?
Dah! Haya maandiko hatari😁😁
 
Kwa mujibu wa tarehe zako:

Hedhi ya Januari ilianza tarehe 10/01/2025

Hedhi ya Februari ilianza tarehe 11/02/2025

Ulikutana kimwili na mwenza wako tarehe 22/02/2025

Leo ni 12/03/2025, na bado hujaona hedhi.

Ikiwa mzunguko wako wa hedhi ni wa kawaida (siku 28-30), ulitarajia kupata hedhi mpya kati ya tarehe 11-13/03/2025. Kwa sasa, upo katika hali ya kuchelewa kwa siku moja au mbili tu.

Kuhusu ujauzito:

Ulifanya kipimo cha ujauzito tarehe 11/03/2025, na mstari mmoja ulibainika. Hii ina maana kwamba kipimo kimeonyesha huna mimba, lakini ikiwa hedhi yako itaendelea kuchelewa, unaweza kurudia kipimo baada ya siku 3-5 kwa uhakika zaidi.

Ikiwa bado hutapata hedhi baada ya wiki moja na kipimo cha ujauzito kikiendelea kuwa hasi (mstari mmoja), unaweza kutafuta ushauri wa daktari ili kuchunguza sababu nyingine za kuchelewa kwa hedhi kama vile mabadiliko ya homoni, msongo wa mawazo, au lishe.

Je, mzunguko wako wa hedhi huwa wa kawaida kila mwezi?
 
Kwamba mimba ni ugonjwa mpaka inakuogopesha kiasi hicho??,. Mvaage condom siku nyingine
 
Laste start date 11
Date day. 22 feb
Difference. Day 11

Ovulation huwa btwn 12/15 days kama cycle yako iko stable

Kama ulifumuliwa tarehe 22 kuamkia 23 na 24 probably like to happen lakn pia mbegu x- inawez kuish 72hrs ndan ya mwl wako ukichukua 11days + 72hrs (3days ) unapata 13/14 accuracy ya mimba inakuw 100%

Tuseme ulipata mimba btn hyo 22 had 25 mwez feb , had sasa is about two weeks probably kipmo ilibid kiwe positive (mistari miwili )


Last perd yako 11feb leo ni 12march
Let make difference ok 3/5days usubirie period

By your data above
Hauna mimba abadani
 
Back
Top Bottom