hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Kabla sijakuwa nilikuaga siamini kama mwanamke anaweza akawa na tundu 🤣🤣Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?