Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Kabla sijakuwa nilikuaga siamini kama mwanamke anaweza akawa na tundu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom