Kwa bahati mbaya kwetu sote (Tanzania) hili la miujiza sasa hivi hatuwezi kulisubiri hata kidogo hata kama lipo au litatokea huko mbele za safari.Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea baada ya kufa.
Wengi tunajua Nyerere pamoja na mapungufu yake alikuwa na nia njema na taifa la Tanzania. Hata wale wanaompinga kwa maamuzi na sera zake sidhani kama wanapinga hili.
Kutokana na taifa kupitia katika sintofahamu kubwa huku kukiwa na ombwe kubwa la kiuongozi, nia hii njema thabiti ya Nyerere kwa Tanzania aliyokuwa nayo alipokuwa hai inaweza kutumika katika sala ya Novena kwa taifa kupitia kwa "roho" ya Nyerere.
Kama maombi hayo yatajibiwa na miujiza kutokea, ushuhuda wa maombi hayo ndiyo unaweza kutumika kuwafanya wamtangaze Mtakatifu.
Hii ni halali ya wananchi moja kwa moja; kama ilivyo kwa Hizo Ofisi za CCM huko mitaani.VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Novena inasaliwa kwa watakatifu tuu, safari ya Nyerere kuwa Mtakatifu bado ni ndefu, saa hizi tuko kwenye mchakato wa kumtangaza mwenye heri, ndipo anaruhusiwa kusaliwa kusubiria muujiza ndipo apewe utakatifu.Kama maombi hayo yatajibiwa na miujiza kutokea, ushuhuda wa maombi hayo ndiyo unaweza kutumika kuwafanya wamtangaze Mtakatifu.
Wanasema kwa Novena, majibu yake pia hayachukui muda kwa hiyo siyo mbaya kujaribu. Ili kujua kama jambo hilo ni muujiza, nadhani ni kuombea jambo kubwa na ambalo linaonekana limeshindikana na pia kuwa "specific". Wataalamu wa theolojia wana njia zao za kupima.Kwa bahati mbaya kwetu sote (Tanzania) hili la miujiza sasa hivi hatuwezi kulisubiri hata kidogo hata kama lipo au litatokea huko mbele za safari.
Inawezekana kusemwa pia kwamba, hali inayopitiwa na taifa letu kwa sasa hivi ni ishara ya muujiza; muujiza wa majaribu makubwa katika uwezo wa taifa kuuhimili..
Lakini, pamoja na haya yote, huo utaratibu wa miujiza unaoambatana na mtu anayehusishwa, utaratibu wake ni wa miaka na miaka; siyo matukio yanayojitokeza kesho, na keshokutwa mtu anahusishwa nayo na kutangazwa mtakatifu. Labda itokee kama ya papa John Paul, ambaye utakatifu wake haukuchukua muda kutambulika.
Hata mimi mawazo yako yaliniijia akilini siku chache zilizopita; na pengine inawezekana miujiza ikatokea lakini watu wakashindwa kujuwa kuwa ni miujiza.
Mwalimu Nyerere aliipenda sana nchi hii pamoja na wananchi wake. Kama ni kweli yupo mahali anatazama na kuona mihangaiko wanayopitia waTanzania wakati huu; hali hiyo itakuwa inamsononesha sana.
Nadhani hata wewe unayo haki yake ya kutoa ushuhuda wa hayo mabaya uliyoona akiyafanya; sina hakika kama milango imefungwa kwa mtu yeyote kufanya hivyo.Matendo ya mtu utayajuaje
Kama alikuwa anapiga nyeto, watajuaje
Kwamba huyo Nyerere ana utakatifu Gani?
Taifa lahitaji kuambiwa si kuombewa. Litaombewaje kana kwamba limekufa?Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea baada ya kufa.
Wengi tunajua Nyerere pamoja na mapungufu yake alikuwa na nia njema na taifa la Tanzania. Hata wale wanaompinga kwa maamuzi na sera zake sidhani kama wanapinga hili.
Kutokana na taifa kupitia katika sintofahamu kubwa huku kukiwa na ombwe kubwa la kiuongozi, nia hii njema thabiti ya Nyerere kwa Tanzania aliyokuwa nayo alipokuwa hai inaweza kutumika katika sala ya Novena kwa taifa kupitia kwa "roho" ya Nyerere.
Kama maombi hayo yatajibiwa na miujiza kutokea, ushuhuda wa maombi hayo ndiyo unaweza kutumika kuwafanya wamtangaze Mtakatifu.
Huyo mzee alikuwa na elimu (ufahamu) gani wa mambo yahusuyo kanisa hilo? Wengi tunajisemea tu mambo tunayosikia au kukisia tu!Kuna mzee aliwahi kuniambia Kanisa Katoliki lina inteligensia kubwa sana
EEeeeeenHEEeeeeeh!Ana ufahamu mkubwa sana. Katika hilo, naomba niishie hapo tafadhali.
Utakatifu wa mtu ni siri na hakuna mtu atajuaNadhani hata wewe unayo haki yake ya kutoa ushuhuda wa hayo mabaya uliyoona akiyafanya; sina hakika kama milango imefungwa kwa mtu yeyote kufanya hivyo.
Kumbuka, katika maswala haya ya imani, hakuna 'exact science'; upimaji wa watu mbalimbali unasaidia tu katika kukisia.
Afterall, ni nani ajuae; inawezekana Mwalimu Nyerere tayari ni Mtakatifu huko aliko; au anaweza kuwa anaumizwa huko jehenam kwa matendo aliyoyafanya katika uhai wake.
Mihangaiko hii ni juu ya sisi ambao bado tupo huku hai; kukisia tu!
Hiki kitu cha inteligensia ya Kanisa Katoliki nakisema mara ya pili humu ndani. Niliwahi kukisema mwaka 2018!EEeeeeenHEEeeeeeh!
Kuna mzee aliwahi kuniambia Kanisa Katoliki lina inteligensia kubwa sana labda hata kushinda dola. Ikitokea hali yoyote ya sintofahamu huwa wanahusika kuhifadhi viongozi.
Intelejensia ya kuona mtu chumbaniKuna mzee aliwahi kuniambia Kanisa Katoliki lina inteligensia kubwa sana
Nafahamu mgonjwa mahututi naye huombewa; angalau apate ahueni; au hata kama ata'kick the bucket', aonewe huruma huko aendako.Taifa lahitaji kuambiwa si kuombewa. Litaombewaje kana kwamba limekufa?