Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

Utakatifu wa mtu ni siri na hakuna mtu atajua
Matendo ya mtu na dhamira yake ni Siri
Si kila matendo mema na mabaya mtu atayafanya hadharani
Nimekwisha yasema haya hapo juu mkuu 'ngara23'!
 
Utakatifu wa mtu ni siri na hakuna mtu atajua
Matendo ya mtu na dhamira yake ni Siri
Si kila matendo mema na mabaya mtu atayafanya hadharani

Intelejensia ya kuona mtu chumbani
Kama wana intelejensia Kali watwambie majina ya watekaji
Unabisha tu kwa nia ya kubishana au una cha zaidi cha kusema?

Kanisa Katoliki ndiyo taasisi pekee duniani ambayo ina msingi na mfumo wa kiuongozi na wa kukusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa ya familia hadi katika ngazi ya juu kabisa ya dunia.

Inawezekana mabadiliko ya kidunia imeyapunguzia nguvu zake kiasi ila mfumo huo bado upo na uwezo huo bado wanao.
 
Novena inasaliwa kwa watakatifu tuu, safari ya Nyerere kuwa Mtakatifu bado ni ndefu, saa hizi tuko kwenye mchakato wa kumtangaza mwenye heri, ndipo anaruhusiwa kusaliwa kusubiria muujiza ndipo apewe utakatifu.
P
Ukiachana na "Novena" rasmi. Kwa mujibu wa kanuni za Kanisa, ni dhambi kumuomba Mungu kupitia kwa roho ya mtu ambaye bado hajatangazwa rasmi kuwa ni Mtakatifu?
 
Unabisha tu kwa nia ya kubishana au una cha zaidi cha kusema?

Kanisa Katoliki ndiyo taasisi pekee duniani ambayo ina msingi na mfumo wa kiuongozi na wa kukusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa ya familia hadi katika ngazi ya juu kabisa ya dunia.

Inawezekana mabadiliko ya kidunia imeyapunguzia nguvu zake kiasi ila mfumo huo bado upo na uwezo huo bado wanao.
Sawa kaka naheshimu mtazamo wako
 
Nyerere mwenyewe angekuliwa hai "utakatatifu" angaukubali?
Hakuna anayeweza kumzungumzia Marehemu ila kwa jinsi ambavyo aliishi kwa kuliheshimu Kanisa, sidhani kama angepinga.

Swali lako halina maana na halihitaji kujibiwa maana mtu haombwi ruhusa kama anataka kuwa Mtakatifu.
 
Nini maana ya "utakatifu"?!
 
Ukiachana na "Novena" rasmi. Kwa mujibu wa kanuni za Kanisa, ni dhambi kumuomba Mungu kupitia kwa roho ya mtu ambaye bado hajatangazwa rasmi kuwa ni Mtakatifu?
Sio dhambi ila sala yako inakuwa haina uhakika kama sala za makaburini, ila pia japo na mimi ni Mkatoliki, baadhi ya mambo ya Catholicism na baadhi ya ibadan zetu sio!, unamuombaje binadamu wakati Mungu ni omniscient omnipotent na omnipresent. Thread 'Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.' Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P
 
Ujinga mtupu

Hichi ni kikao cha wapumbavu pro max

Yan umeona wapi watu wanadai uhuru kwa kufanya maombi sijui sala, sijui upumbavu wa mtakatifu sio novena, albadir na ujinga ujinga wenu huo CCM itakaa madarakan hadi kiama.

Yan upate uhuru kwa maombi hivi mpo serious kwel nyinyi nyumbu?

Halafu mmekaa mnajiona maGT eti mtakatifu nyoko...

Beba AK-47 ingia road hio ndo njia pekee inatumiwa toka dunia iumbwe

Watanzania bado wapumbavu mpo wengi sana

OKtoba mkatiki nyie mabwege
 
Sio dhambi ila sala yako inakuwa haina uhakika kama sala za makaburini, ila pia japo na mimi ni Mkatoliki, baadhi ya mambo ya Catholicism na baadhi ya ibadan zetu sio!, unamuombaje binadamu wakati Mungu ni omniscient omnipotent na omnipresent. Thread 'Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.' Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P
Nadhani dhana nzima ya kumuomba Mwenyezi Mungu kupitia kwa roho ya mwingine ni kuyaongezea nguvu maombi yako kutokana na nguvu ya ushawishi aliyonayo huyo unayemtumia kutokana na usafi wa maisha yake alipokuwa hapa duniani.

Tunategemea huyo mtu husika tunayemtumia kama "intercessor", kutokana na usafi wa maisha yake hapa duniani, roho yake itakuwa amepokelewa sehemu nzuri. Imani ni kwamba Mungu anaweza kuyapa uzito maombi hayo kutokana na kupendezwa na maisha ya huyo uliyemchagua kama kiunganishi cha maombi. Nadhani ni common sense tu.

Hata tunapoomba kupitia kwa Bwana Yesu, concept ni hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom