babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
inafaa ila usichemshe yenyewe,kaanga au grill then chemsha supu ya mboga,weka royco au maggi then vinegar,soya,tangawizi na garlic mwisho tupiamo mdudu aliyekarangwa,anachemkia kidogo tuchilli na limau ulete mrejesho.Wakuu please
Halafu kule bei chee. Daah sitasahau nlivokamatwa pale KINAPA
Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?Kwa nyama HAPANA na ataekwambia inawezekana huyo mtu mchukie
kwasababu atakua haitakii mema afya yako,hao ndio kula kula ilimradi (sio sumu)
Haifai kwasababu ile nyama ina mafuta sana sana ndio mana hata kwenye kukaanga
ni nyama pekee inayojikaanga yenyewe kwa mafuta yake,mdudu hakaangwi na Korie wala sunflower
hivyo kwenye supu wanachemsha kongoro tu kwa sababu ndiyo sehemu isiyo na mafuta mengi mtu unaweza
kunywa na ukashiba bila kusikia kukereketwa,ila supu ya nyama ya mdudu tu ukiinywa kesho yake utaendesha gari bila leseni.
Mimi nachukulia Ubungo external karibu na London Lounge,Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
Ndizi design ya mchemsho. Nyama unaichemsha kidogo then unachanganya kwenye ndizi zao laini wanaita Nyenyele (Samahani shem zangu kama nimekosea spelling). Unaweka na viungo kama carrot, njegere, n.kUnaipiga mchemsho wa ndizi?
Thumbs up mkuu ntajaribu na kukuletea mrejesho. Samahani kidogo, nyama unaichemsha Kwanza ndio unaitenga pembeni?Ni kama unavyopika tu ndizi na nyama ya ng'ombe au mbuzi.
Waweza weka na kitunguu,carrots na hoho..nyinyizia na tangawizi kidogo kutoa ile shombo ya nguruwe.
Mafuta usiweke kabisa maana hiyo nyama Ina mafuta ya kutosha..tia tu maji uvichemshe pamoja.
Utatamani ule kila siku my dear
Ni nguruwe mkuusana,ulikamatwa Kinapa na issue gani Mkuu ?
Usinikumbushe ndanda boys mkuuTumekula sana mkorosho haramu ndanda
Ni nguruwe mkuu
Heeee?Hapa Mozambique kuna supu ya utumbo wa mdudu
Hakuna machinjio rasmi mkuu ukute tu mtu ana wadudu wake anafuga akiamua kuchinja anauza nyamaHivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
Mi za sokwe mtu aisee,hunitoinapendaga sana kula pumbu za nguruwe ukizichoma
Tulienda kuweka camp pale kujiandaa na zoezi la kupanda mlima, usiku nikatoroka nikaenda vijijji vya karibu kutafuta mdudu. Kugeuka nikatiwa mbaroni na wakufunzi nikiwa na fuko la kama kilo 50 rosti, wenzangu wote walioweka oda kila nkienda kuwaamsha wanakausha kama hawanijui ikabidi linifiehahaha[emoji28],mimi nataka mwaka kesho kutwa nianze kuyafuga,nitatafuta watu niwakabidhi wanifugie maana yana pesa sana yale madude
una pafahamu ubungo Riverside uku kwa mzee wa upako?Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
Nilitoroka usiku bila kibaliWakufunzi gan Kwan hamruhusiwi?