Je, nyama ya nguruwe inafaa kwa supu?

Je, nyama ya nguruwe inafaa kwa supu?

Kwa nyama HAPANA na ataekwambia inawezekana huyo mtu mchukie

kwasababu atakua haitakii mema afya yako,hao ndio kula kula ilimradi (sio sumu)

Haifai kwasababu ile nyama ina mafuta sana sana ndio mana hata kwenye kukaanga

ni nyama pekee inayojikaanga yenyewe kwa mafuta yake,mdudu hakaangwi na Korie wala sunflower

hivyo kwenye supu wanachemsha kongoro tu kwa sababu ndiyo sehemu isiyo na mafuta mengi mtu unaweza

kunywa na ukashiba bila kusikia kukereketwa,ila supu ya nyama ya mdudu tu ukiinywa kesho yake utaendesha gari bila leseni.
 
Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
 
Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
Mimi nachukulia Ubungo external karibu na London Lounge,

pale kuna machinjio huwa naendaga fata mzigo Kilo wanauza 7000 (mbichi)

sema mimi sichukuagi kwa biashara,nafataga kilo zangu za kuweka stock tu

wewe ukienda chukua nyingi kuanzia hata 20KG nadhani wanaweza kukufanyia hata 6500

fika ongea nao nadhani hamuwezi kushindwana,Mafuta pia wanayo wanauza ushindwe mwenyewe.
 
Ni kama unavyopika tu ndizi na nyama ya ng'ombe au mbuzi.

Waweza weka na kitunguu,carrots na hoho..nyinyizia na tangawizi kidogo kutoa ile shombo ya nguruwe.
Mafuta usiweke kabisa maana hiyo nyama Ina mafuta ya kutosha..tia tu maji uvichemshe pamoja.
Utatamani ule kila siku my dear
Thumbs up mkuu ntajaribu na kukuletea mrejesho. Samahani kidogo, nyama unaichemsha Kwanza ndio unaitenga pembeni?
 
hahaha[emoji28],mimi nataka mwaka kesho kutwa nianze kuyafuga,nitatafuta watu niwakabidhi wanifugie maana yana pesa sana yale madude
Tulienda kuweka camp pale kujiandaa na zoezi la kupanda mlima, usiku nikatoroka nikaenda vijijji vya karibu kutafuta mdudu. Kugeuka nikatiwa mbaroni na wakufunzi nikiwa na fuko la kama kilo 50 rosti, wenzangu wote walioweka oda kila nkienda kuwaamsha wanakausha kama hawanijui ikabidi linifie
 
Hivi mkuu kwa dar ni wapi kuna machinjo ya mdudu, hapa nataka kwa ajili ya biashara?
una pafahamu ubungo Riverside uku kwa mzee wa upako?
bas ukiweza kufika mpaka mitaa hii ya karibu na kanisa la Lusekelo uliza machinjio ya Mdudu yapo wapi bas utaelekezwa kua ume fika sehem husika nazan kg hua n 7000 tshs
 
Back
Top Bottom