TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Fine nimejenga nyumba ya kuishi vp hz pesa nilizokuwa natakiwa kulipia kodi wakati napanga unafikiri nazinywea bia kisa silipi kodi tena? Jibu ni hapana ninaweza kuinvest hzo elsewhere huku sina headache na kama muajiriwa bado mshahara unaingia unaona raha yake?Kwanza kabisa nyumba sio asset per se...nyumba inaweza kua asset endapo tu itakua inakuingizia hela mfano kwa kuipangisha au shughuli yoyote ile ya kiuchumi...kama nyumba unaitumia kwa makazi yako binafsi hapo hakuna asset...