Je, nyumba bado ni asset ya uhakika kuliko asset zingine zote?

Je, nyumba bado ni asset ya uhakika kuliko asset zingine zote?

Kwanza kabisa nyumba sio asset per se...nyumba inaweza kua asset endapo tu itakua inakuingizia hela mfano kwa kuipangisha au shughuli yoyote ile ya kiuchumi...kama nyumba unaitumia kwa makazi yako binafsi hapo hakuna asset...
Fine nimejenga nyumba ya kuishi vp hz pesa nilizokuwa natakiwa kulipia kodi wakati napanga unafikiri nazinywea bia kisa silipi kodi tena? Jibu ni hapana ninaweza kuinvest hzo elsewhere huku sina headache na kama muajiriwa bado mshahara unaingia unaona raha yake?
 
Definition ya nyumba kama asset ni moja tu popote pale duniani whether inakuingizia mapato kila mwezi/mwaka au hupati hata senti moja bado nyumba ni asset. Hiyo dhana yako kwamba ili nyumba iweze kuwa asset ni lazima ikuingizie mapato ni dhana potofu na haimo kwenye accounting principles za miaka nenda miaka rudi.

Inategemea una define nyumba kutoka angle gani, maana waliowengi wanaangalia kihasibu lakini sio lazima tufuate principle za accounting , kwa wengine Asset ni lazima iwe generating asset kama alivyo tafsiri Robert Kiyosaki, na ndie alie badilisha mtazamo dunian
 
Nyumba inaweza ikawa asset au liability.Si kila nyumba ni asset.Nyumba yako unayoishi wewe ni liability kwakua haikuingizi kipato chochote sana sana inakutoa pesa yako kwa kodi ya jengo,umeme,maji,usafi,n.k.Nyumba yako uliyopangisha ni asset na sababu yake ni kua inakuongezea kipato yaani inakuingizia hela.
 
Hii dhana ya watu kuandika hapa na kuweka mahitimisho yao kwa kutumia vigezo visivyohusu kitu kwamba nyumba si asset inanishangaza sana. Duh!
Mkuu kwa kweli inashangaza sana. Kama kuna kitu muhimu ambacho binadamu anapigana kufa na kupona kuwa nacho ni nyumba. Unless sijui maana ya neno asset.
 
Nimeweka ful package yaan hata weww ukidhurika kwa tukio lilitokea kwangu bima inakufidia.

Gharama ya bima si ghali kiivo..mfano hyo full package kwa nyumba ya mil 90...nililipa kama lak na 28 elf kwa mwaka jana...mwaka huu pamoja na vat itaongezeka kidogo...ingawa sidhan kama itavuka lak unusu.
Isipokumbwa na dhoruba yoyote maisha yake yote inakula kwako sio, au inakuwaje?
 
Ahsante sana watu wana dhana potofu sana kuhusu nyumba kama asset. Mtu kanunua nyumba tuseme kwa $250K kaishi miaka 10 na labda kishamaliza deni. Jiji analoishi nyumba za Jiji lile zimeongezeka thamani sana anatokea mtu yuko tayari kumlipa huyu jamaa $1,000,000 ili ainunue hiyo nyumba. Njemba inakubali ndani ya miaka 10 kishatengeneza cool money ya $750K halafu mtu anakuja hapa na definition yake potofu eti nyumba kama haikuingizii mapato si asset. Wabongo kwa kudanganyana duh!

Nyumba bado ni asset safe, hasa ikiwa eneo zuri, tetemeko la ardhi hutokea mara ngapi kwa karne ngapi hapa Tz?
Halafu hii sio mada ya kisiasa
 
Definition ya nyumba kama asset ni moja tu popote pale duniani whether inakuingizia mapato kila mwezi/mwaka au hupati hata senti moja bado nyumba ni asset. Hiyo dhana yako kwamba ili nyumba iweze kuwa asset ni lazima ikuingizie mapato ni dhana potofu na haimo kwenye accounting principles za miaka nenda miaka rudi.
Nadhani hujanielewa kbs, sijapinga definition ya nyumba ni asset in accountancy,,,,,ninachosema zipo discipline nyingine zenye definition tofauti ya nyumba na tofauti kbs na accountancy kama alivyo ielezea RICH DAD POOR DAD,
Neno ASSET sio lazima litumike ki uhasibu tu ....... ......

Mfano halisi wa LAND undeveloped ,,, definiton ya economist , Finance na ya accountancy zinaweza kutofautiana sana
 
Kabisa Mkuu nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu popote pale duniani na itabaki kuwa asset yenye thamani kubwa sana kwa miaka mingi ijayo.

Mkuu kwa kweli inashangaza sana. Kama kuna kitu muhimu ambacho binadamu anapigana kufa na kupona kuwa nacho ni nyumba. Unless sijui maana ya neno asset.
 
Nyumba inaweza ikawa asset au liability.Si kila nyumba ni asset.Nyumba yako unayoishi wewe ni liability kwakua haikuingizi kipato chochote sana sana inakutoa pesa yako kwa kodi ya jengo,umeme,maji,usafi,n.k.Nyumba yako uliyopangisha ni asset na sababu yake ni kua inakuongezea kipato yaani inakuingizia hela.
Kuishi kwenye nyumba yako naunga mkono kwan ni suala linaloleta pumziko la nafsi....ila kutumia mfano mkopo wa milion 80 kisha wote akajenga nyumba matombo kisa eti ni asset ni kichekesho kwa kwweli...atakuwa anasema nina mjengo wa adab matombo with no impact
 
Isipokumbwa na dhoruba yoyote maisha yake yote inakula kwako sio, au inakuwaje?
Ndo hivo mkubwa wangu...kwa maneno mengine bima wanafunga na kisali ili usifikwe na majanga. So lak unusu ni nn kwa property yako ya gharama kubwa?! Ajabu bima ya nyumba ni nafuu kuliko gari.
 
Nyumba itaendelea kuwa asset ya uhakika kwa kuwa nyumba yenyewe iko juu ya kiwanja ambacho pia ni asset ambayo inaweza ikawa na thamani kubwa kuliko hata nyumba yenyewe kutegemea na mahali kilipo kwa hiyo hata kama nyumba itabomoka kwa tetemeko bado asset ya kiwanja itaendelea kuwepo,hata hivyo kwa hapa duniani hakuna asset ya uhakika kwa kuwa huwa inatokea tetemeke linaipiga bahari na kubadilisha muelekeo wa maji ambayo huwa yanahama baharini na kuchanja mbuga mitaani ambako mali nyingi husombwa na kupelekwa baharini,asset ya uhakika ni ile ambayo mtu ana wekeza mbinguni kwa njia ya kumwamini Mungu ambako majanga kama haya huwahayatokei.
 
Ndo hivo mkubwa wangu...kwa maneno mengine bima wanafunga na kisali ili usifikwe na majanga. So lak unusu ni nn kwa property yako ya gharama kubwa?! Ajabu bima ya nyumba ni nafuu kuliko gari.
Kwanini unaiangalia laki badala ya kuzidisha hiyo laki mara miaka utakayolipa? Inawezekana ndio maana ajali za moto zenye utata utata nazo ni nyingi!
 
Achana na hawa watu wanaoandika vitabu kuwazuga watu ili wao watajirike. Mjadala huu unahusu nyumba jikite kwenye nyumba tu badala ya kutanga tanga huku na kule Mkuu.

Nadhani hujanielewa kbs, sijapinga definition ya nyumba ni asset in accountancy,,,,,ninachosema zipo discipline nyingine zenye difinition tofauti ya nyumba na tofauti kbs na accountancy kama alivyo ielezea RICH DAD POOR DAD,
Neno ASSET sio lazima litumike ki uhasibu tu ....... ......

Mfano halisi wa LAND undeveloped ,,, definiton ya economist , Finance na ya accountancy zinaweza kutofautiana sana
 
Ahsante sana watu wana dhana potofu sana kuhusu nyumba kama asset. Mtu kanunua nyumba tuseme kwa $250K kaishi miaka 10 na labda kishamaliza deni. Jiji analoishi nyumba za Jiji lile zimeongezeka thamani sana anatokea mtu yuko tayari kumlipa huyu jamaa $1,000,000 ili ainunue hiyo nyumba. Njemba inakubali ndani ya miaka 10 kishatengeneza cool money ya $750K halafu mtu anakuja hapa na definition yake potofu eti nyumba kama haikuingizii mapato si asset. Wabongo kwa kudanganyana duh!

Hakika wewe utakuwa mhasibu hizo ndizo lugha zenu, bado hapo huyo anaweza kuwa yuko kwenye hasara kubwa, kuna vitu vingi tu vya kuangalia kabla ili kujua ni faida au hasara sio tu MONETARY TERMS , kuna rate of capital gain , kuna Inflation rate, na mengine pia

Mfano aliuza Mahindi magunia 200 kupata hiyo $250k leo hizo gunia 200 thamani yake ni $1,500k anaamua kuuza kwa hiyo bei $1000k , Je akiamua kununua gunia zake za mahindi atapata ngapi ?atakuwa na faida au Hasara ?
 
Asset kama nyumba KAMWE haiwezi kufananishwa na biashara ya mahindi. Ondoa hiyo dhana yako potofu kwamba ili nyumba iweze kuwa asset ni lazima ikuingizie mapato. Hakuna kitu kama hicho kwenye accounting hivyo usijaribu kuchomeka definition za kutoka hewani.

Hakika wewe utakuwa mhasibu hizo ndizo lugha zenu, bado hapo huyo anaweza kuwa yuko kwenye hasara kubwa, kuna vitu vingi tu vya kuangalia kabla ili kujua ni faida au hasara sio tu MONEY TERMS , kuna rate of capital gain , kuna Inflation rate, na mengine pia

Mfano aliuza Mahindi magunia 200 kupata hiyo $250k leo hizo gunia 200 thamani yake ni $1,500k anaamua kuuza kwa hiyo bei $1000k , Je akiamua kununua gunia zake za mahindi atapata ngapi ?atakuwa na faida au Hasara ?
 
Hakunaga KTU ambacho skipend kama bima,kama Mali itapotea ipotee tu,lakin co kla Mara natoa pesa kwa KTU uschojua ktatokea lin
 
Kuna maafa mengine kama tetemeko,mafuriko na majanga yanayosababiswa na ''act of God''...bima hazikingi.
mkuu crdb insurance broker wanatoa hiyo cover. Mpaka Sasa bukoba Kuna baadhi ya watu walioathirika washatembelewa na maafsa ya kampun ya UAP kufanyiwa tathmin
 
Kwanini unaiangalia laki badala ya kuzidisha hiyo laki mara miaka utakayolipa? Inawezekana ndio maana ajali za moto zenye utata utata nazo ni nyingi!
Yaan hata kama ingekuwa bima ni lak 5 kwa mwaka...bado ningelipa...na ningelipa miaka yote ambayo namiliki hyo property...why

Bse hyo bima inanipa kinga ya majanga eg moto...wizi...third party compasation...wakat ni kweli kwamba unaweza kumaliza miaka 10 bila kupata janga....lakin ni ukweli usiopingika kwamba janga likikufika utakumbuka bima.

Sbb ya pili ni kwamba kila mwaka nyumba inapanda thaman...so kiulinganifu na bei nayolipa bima itabaki kuwa ndogo.

Hapa bima itakuwa na maana tu kama hauna nia ovu...yaan kutengezea janga feki ili bima ikulipe...maana kama utatengeneza janga...una uwezekano mkubwa usipate fidia.
 
Back
Top Bottom