Fine nimejenga nyumba ya kuishi vp hz pesa nilizokuwa natakiwa kulipia kodi wakati napanga unafikiri nazinywea bia kisa silipi kodi tena? Jibu ni hapana ninaweza kuinvest hzo elsewhere huku sina headache na kama muajiriwa bado mshahara unaingia unaona raha yake?Kwanza kabisa nyumba sio asset per se...nyumba inaweza kua asset endapo tu itakua inakuingizia hela mfano kwa kuipangisha au shughuli yoyote ile ya kiuchumi...kama nyumba unaitumia kwa makazi yako binafsi hapo hakuna asset...
Inategemea una define nyumba kutoka angle gani, maana waliowengi wanaangalia kihasibu lakini sio lazima tufuate principle za accounting , kwa wengine Asset ni lazima iwe generating asset kama alivyo tafsiri Robert Kiyosaki, na ndie alie badilisha mtazamo dunian
Mkuu kwa kweli inashangaza sana. Kama kuna kitu muhimu ambacho binadamu anapigana kufa na kupona kuwa nacho ni nyumba. Unless sijui maana ya neno asset.Hii dhana ya watu kuandika hapa na kuweka mahitimisho yao kwa kutumia vigezo visivyohusu kitu kwamba nyumba si asset inanishangaza sana. Duh!
Isipokumbwa na dhoruba yoyote maisha yake yote inakula kwako sio, au inakuwaje?Nimeweka ful package yaan hata weww ukidhurika kwa tukio lilitokea kwangu bima inakufidia.
Gharama ya bima si ghali kiivo..mfano hyo full package kwa nyumba ya mil 90...nililipa kama lak na 28 elf kwa mwaka jana...mwaka huu pamoja na vat itaongezeka kidogo...ingawa sidhan kama itavuka lak unusu.
Nyumba bado ni asset safe, hasa ikiwa eneo zuri, tetemeko la ardhi hutokea mara ngapi kwa karne ngapi hapa Tz?
Halafu hii sio mada ya kisiasa
Nadhani hujanielewa kbs, sijapinga definition ya nyumba ni asset in accountancy,,,,,ninachosema zipo discipline nyingine zenye definition tofauti ya nyumba na tofauti kbs na accountancy kama alivyo ielezea RICH DAD POOR DAD,Definition ya nyumba kama asset ni moja tu popote pale duniani whether inakuingizia mapato kila mwezi/mwaka au hupati hata senti moja bado nyumba ni asset. Hiyo dhana yako kwamba ili nyumba iweze kuwa asset ni lazima ikuingizie mapato ni dhana potofu na haimo kwenye accounting principles za miaka nenda miaka rudi.
Mkuu kwa kweli inashangaza sana. Kama kuna kitu muhimu ambacho binadamu anapigana kufa na kupona kuwa nacho ni nyumba. Unless sijui maana ya neno asset.
Kuishi kwenye nyumba yako naunga mkono kwan ni suala linaloleta pumziko la nafsi....ila kutumia mfano mkopo wa milion 80 kisha wote akajenga nyumba matombo kisa eti ni asset ni kichekesho kwa kwweli...atakuwa anasema nina mjengo wa adab matombo with no impactNyumba inaweza ikawa asset au liability.Si kila nyumba ni asset.Nyumba yako unayoishi wewe ni liability kwakua haikuingizi kipato chochote sana sana inakutoa pesa yako kwa kodi ya jengo,umeme,maji,usafi,n.k.Nyumba yako uliyopangisha ni asset na sababu yake ni kua inakuongezea kipato yaani inakuingizia hela.
Ndo hivo mkubwa wangu...kwa maneno mengine bima wanafunga na kisali ili usifikwe na majanga. So lak unusu ni nn kwa property yako ya gharama kubwa?! Ajabu bima ya nyumba ni nafuu kuliko gari.Isipokumbwa na dhoruba yoyote maisha yake yote inakula kwako sio, au inakuwaje?
Kwanini unaiangalia laki badala ya kuzidisha hiyo laki mara miaka utakayolipa? Inawezekana ndio maana ajali za moto zenye utata utata nazo ni nyingi!Ndo hivo mkubwa wangu...kwa maneno mengine bima wanafunga na kisali ili usifikwe na majanga. So lak unusu ni nn kwa property yako ya gharama kubwa?! Ajabu bima ya nyumba ni nafuu kuliko gari.
Nadhani hujanielewa kbs, sijapinga definition ya nyumba ni asset in accountancy,,,,,ninachosema zipo discipline nyingine zenye difinition tofauti ya nyumba na tofauti kbs na accountancy kama alivyo ielezea RICH DAD POOR DAD,
Neno ASSET sio lazima litumike ki uhasibu tu ....... ......
Mfano halisi wa LAND undeveloped ,,, definiton ya economist , Finance na ya accountancy zinaweza kutofautiana sana
Kuna maafa mengine kama tetemeko,mafuriko na majanga yanayosababiswa na ''act of God''...bima hazikingi.
Ahsante sana watu wana dhana potofu sana kuhusu nyumba kama asset. Mtu kanunua nyumba tuseme kwa $250K kaishi miaka 10 na labda kishamaliza deni. Jiji analoishi nyumba za Jiji lile zimeongezeka thamani sana anatokea mtu yuko tayari kumlipa huyu jamaa $1,000,000 ili ainunue hiyo nyumba. Njemba inakubali ndani ya miaka 10 kishatengeneza cool money ya $750K halafu mtu anakuja hapa na definition yake potofu eti nyumba kama haikuingizii mapato si asset. Wabongo kwa kudanganyana duh!
Hakika wewe utakuwa mhasibu hizo ndizo lugha zenu, bado hapo huyo anaweza kuwa yuko kwenye hasara kubwa, kuna vitu vingi tu vya kuangalia kabla ili kujua ni faida au hasara sio tu MONEY TERMS , kuna rate of capital gain , kuna Inflation rate, na mengine pia
Mfano aliuza Mahindi magunia 200 kupata hiyo $250k leo hizo gunia 200 thamani yake ni $1,500k anaamua kuuza kwa hiyo bei $1000k , Je akiamua kununua gunia zake za mahindi atapata ngapi ?atakuwa na faida au Hasara ?
mkuu crdb insurance broker wanatoa hiyo cover. Mpaka Sasa bukoba Kuna baadhi ya watu walioathirika washatembelewa na maafsa ya kampun ya UAP kufanyiwa tathminKuna maafa mengine kama tetemeko,mafuriko na majanga yanayosababiswa na ''act of God''...bima hazikingi.
Yaan hata kama ingekuwa bima ni lak 5 kwa mwaka...bado ningelipa...na ningelipa miaka yote ambayo namiliki hyo property...whyKwanini unaiangalia laki badala ya kuzidisha hiyo laki mara miaka utakayolipa? Inawezekana ndio maana ajali za moto zenye utata utata nazo ni nyingi!