Na wapo wengi sana ambao wanagombea ubunge kwa tiketi ya Chadema.Kule kwingine amekuwa labelled kama Afisa kipenyo
Hamna kituAfisa Kipenyo!
Hakika ni afisa kipenyo, anapenya mpaka anakuwa bosi watu wapo tu hawajuiKatambi alikuwa Bavicha kumbe pandikizi...
Hashindi Shinyanga! Anapigwa asubuhi na mapema!Mbunge mtarajiwa.. kwa kishindo..
Magufuli 2020 💯
Mnaota mchana, chungeni ukichaa unawamendea.Hashindi Shinyanga! Anapigwa asubuhi na mapema!
Habari ndiyo hiyo!Mnaota mchana, chungeni ukichaa unawamendea.
Hata huyu mchoma mahindi hapa Mtoni Aziz Ali naye ni mmoja wao.Kuwatambua spies ni shughuli pevu kweli kweli. Wapo wafagizi barabarani, wafanyakazi majumbani, mama ntilie, watumishi wa dini..kila eneo unalolijua wewe. Huwezi kulaumu CHADEMA.
hakika ni afisa kipenyo,anapenya mpaka anakuwa bosi watu wapo tu hawajui